FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 38,920
- 44,970
duuh...!!!Mjini Kuna mtandao wa Madada fulani
Wao wakitka wamuweke dem mkali ili awe na mtu maarufu na mwenye pesa hawashindwi, ila mwanaume utanasa kama ukiwa kipangaaa
Tena mmoja wao ni former miss wilaya fulani!!!
Ova
Sent using Jamii Forums mobile app
Tofautisha kuandika wosia na kusaini wosiaNa ground waliyonayo ni kuthibitisha kuwa Mzee wakati anaandika wosia alikuwa ana matatizo ya akili au hakuwa timamu. Sasa jinsi ya kuthibitisha, Hapo patamu!
Sent using Jamii Forums mobile app
Ulioandikwa na matapeli na kusainishwa mzee Mengi akiwa mgonjwa na kachanganyikiwa?Huo ni usia wa mengi kwenye share zake!!!...
Ukimya wa upande mmoja na yanayoendelea ndo unafanya upande wa pili upige kelele na kutapatapa all the best guys ni mwendo wa kukomaa tu hakuna namna.....mpaka mwisho mtu apige yoweeeee kabisa kwenye taarifa ya habari ya saa 2 usiku na bado dawa ni ile ile kimya kimkakati.......hakuna kucheka na kima
Hana kitu alijisaha sana dada yenu!!..yeye siyo hata share holder wa IPP!!!..yeye anapigania Mali ya Reginald ambayo kwenye share za kampuni alikua kabakiza kidogo nyingi alikua kampa mkewe na watoto!!!...hicho kidogo ndio kinatakiwa kigawanywe pia!!!..
Tofautisha wosia kuandikwa na Mengi na kusainiwa na Mengi...
Na ground waliyonayo ni kuthibitisha kuwa Mzee wakati anaandika wosia alikuwa ana matatizo ya akili au hakuwa timamu. Sasa jinsi ya kuthibitisha, Hapo patamu!
Sent using Jamii Forums mobile app
Mungu anisamehe na nionekane tu nna wivu ila huyu Dada nimemchukia ghafla tamaa gani hizooo!!hana hata hofu ya MunguUjue hakutumia akili tu! Alijua fika kabisa kuwa hata akiachiwa hicho cha Mzee chote kwa maisha aliyoishi na ndugu wa Mengi ni ngumu sana yeye kuwa na nguvu ktk uendeshaji wa zile biashara,kama hawa watoto wawili wana 75% tayari,anadhani hiyo 25% anayotaka kuwatapeli pia atakuwa na maamuzi gani ktk Makampuni,kama siyo kuishia kuwa frustrated tu,ningekuwa Mimi ningekaa na kina Regina vizuri nikabaki kuwa Mpenzi mtazamaji nikisubiri mgawo wangu,wale wasingemnyima! But kwa ujuaji huu alioufanya,anakwenda kupoteza kila kitu,ashukuru kuna wale Mapacha watamfanya aishi kupitia wao!
Pia pana kitu hakukitarajia,kwamba Watu walio wengi wamemuona yeye ni Mwizi,laghai na tapeli mkubwa! The same feelings goes to hata wale wanaoisikiliza kesi yake,image yake imeharibika sana,atahitaji nguvu ya ziada kuweza kuaminika tena hasa kwenye familia ya Mengi,vinginevyo wale watoto wanakuja kuwa Wahanga wa ujuaji wa Mama yao! Mtaka yote kwa pupa hukosa yote!
Ashinde tu lakini ni dhulma ya waziwaziKuna sehemu nimelisema hili mwanzoni mwa huu uzi.. watu wakanipinga... k lyn ana mafasi kubwa sana kushinda hii case
Mungu anisamehe na nionekane tu nna wivu ila huyu Dada nimemchukia ghafla tamaa gani hizooo!!hana hata hofu ya Mungu
Sent using Jamii Forums mobile app
Jike shupa linataka mali kwa nguvu, linataka livune lisichopanda, akomee mbafu huyo,
Hadi limemuua baba wa watu
Lazima umtetee si dadako huyoMtu kapewa mali kihalali wewe unasema kachukua kwa nguvu!
Kulinda Mali za Mengi serikali itaongea na Mahakama Wosia utatupwa maana unaonekana wa kitapeli
Sent using Jamii Forums mobile app
Yatima ni MTOTO mwenye umri chini ya miaka 18, sasa hiyo mizee utaiitaje yatima?
Kesi za mirathi hazifojiwi,kwa ujinga wke itamcostAttention seeker!
Case mahakamani inayumba anaona justice itakuwa ndivyo sivyo
Atulizane bana wajane wapi wengi asisumbue watu wachagga watambamiza asahau njia.
Muda ni ukuta mrudi anapoteza mechi mapema sana,tulieni muone mwisho wake wa utapeliKama amefoji wosia basi watakwenda kuthibitishia mahakama maana kusema tuu hakutoshi bali kuthibitisha pasi shaka!
Nikuhakikishie ni vigumu familia ya Mengi kushinda hii case hata kwa dawa!