Jacqueline Ntuyabaliwe Mengi: Nimezuiwa kuingia kwenye kaburi la mume wangu. Nimechoka na sitakubali

Jacqueline Ntuyabaliwe Mengi: Nimezuiwa kuingia kwenye kaburi la mume wangu. Nimechoka na sitakubali

Ukimya wa upande mmoja na yanayoendelea ndo unafanya upande wa pili upige kelele na kutapatapa all the best guys ni mwendo wa kukomaa tu hakuna namna.....mpaka mwisho mtu apige yoweeeee kabisa kwenye taarifa ya habari ya saa 2 usiku na bado dawa ni ile ile kimya kimkakati.......hakuna kucheka na kima

Inaitwa kumfukuza Mwizi kimya kimya! Yeye anapiga yowe tweeter,Instagram,wao kimya wako nyuma yake tu kila akigeuka hawa hapa! Hii ndio tofauti ya kuwa na Elimu na kutokuwa nayo,angalia Watoto wakubwa wa Mengi wanavyohandle mambo kimya kimya,halafu mwenzagu na mimi na elimu yake ya kuunga unga anavyoweweseka! Hivi ni nani hasa aliemdanganya kuforge ile Will? It was a total blander na ataijutia maisha yake yote,si ajabu hao Bush lawyers waliomwandikia walilamba pesa ndefu na sasa wako pembeni wanamchora tu anavyochezeshwa sebene la kimya kimya na kina Regina!
 
Hana kitu alijisaha sana dada yenu!!..yeye siyo hata share holder wa IPP!!!..yeye anapigania Mali ya Reginald ambayo kwenye share za kampuni alikua kabakiza kidogo nyingi alikua kampa mkewe na watoto!!!...hicho kidogo ndio kinatakiwa kigawanywe pia!!!..

Ujue hakutumia akili tu! Alijua fika kabisa kuwa hata akiachiwa hicho cha Mzee chote kwa maisha aliyoishi na ndugu wa Mengi ni ngumu sana yeye kuwa na nguvu ktk uendeshaji wa zile biashara,kama hawa watoto wawili wana 75% tayari,anadhani hiyo 25% anayotaka kuwatapeli pia atakuwa na maamuzi gani ktk Makampuni,kama siyo kuishia kuwa frustrated tu,ningekuwa Mimi ningekaa na kina Regina vizuri nikabaki kuwa Mpenzi mtazamaji nikisubiri mgawo wangu,wale wasingemnyima! But kwa ujuaji huu alioufanya,anakwenda kupoteza kila kitu,ashukuru kuna wale Mapacha watamfanya aishi kupitia wao!

Pia pana kitu hakukitarajia,kwamba Watu walio wengi wamemuona yeye ni Mwizi,laghai na tapeli mkubwa! The same feelings goes to hata wale wanaoisikiliza kesi yake,image yake imeharibika sana,atahitaji nguvu ya ziada kuweza kuaminika tena hasa kwenye familia ya Mengi,vinginevyo wale watoto wanakuja kuwa Wahanga wa ujuaji wa Mama yao! Mtaka yote kwa pupa hukosa yote!
 
Na ground waliyonayo ni kuthibitisha kuwa Mzee wakati anaandika wosia alikuwa ana matatizo ya akili au hakuwa timamu. Sasa jinsi ya kuthibitisha, Hapo patamu!

Sent using Jamii Forums mobile app

Kazi wanayo kubwa sana na hii case itachukua miaka na miaka kuisha kampuni zote zitakuwa na hali mbaya sana! Wanayo kazi sana
 
Ujue hakutumia akili tu! Alijua fika kabisa kuwa hata akiachiwa hicho cha Mzee chote kwa maisha aliyoishi na ndugu wa Mengi ni ngumu sana yeye kuwa na nguvu ktk uendeshaji wa zile biashara,kama hawa watoto wawili wana 75% tayari,anadhani hiyo 25% anayotaka kuwatapeli pia atakuwa na maamuzi gani ktk Makampuni,kama siyo kuishia kuwa frustrated tu,ningekuwa Mimi ningekaa na kina Regina vizuri nikabaki kuwa Mpenzi mtazamaji nikisubiri mgawo wangu,wale wasingemnyima! But kwa ujuaji huu alioufanya,anakwenda kupoteza kila kitu,ashukuru kuna wale Mapacha watamfanya aishi kupitia wao!

Pia pana kitu hakukitarajia,kwamba Watu walio wengi wamemuona yeye ni Mwizi,laghai na tapeli mkubwa! The same feelings goes to hata wale wanaoisikiliza kesi yake,image yake imeharibika sana,atahitaji nguvu ya ziada kuweza kuaminika tena hasa kwenye familia ya Mengi,vinginevyo wale watoto wanakuja kuwa Wahanga wa ujuaji wa Mama yao! Mtaka yote kwa pupa hukosa yote!
Mungu anisamehe na nionekane tu nna wivu ila huyu Dada nimemchukia ghafla tamaa gani hizooo!!hana hata hofu ya Mungu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mungu anisamehe na nionekane tu nna wivu ila huyu Dada nimemchukia ghafla tamaa gani hizooo!!hana hata hofu ya Mungu

Sent using Jamii Forums mobile app

Ni mpuuzi sana! Sio wewe tu unaemchukia,asilimia kubwa wamemchukia sana na wanasympathy na watoto wa Mengi,hili peke yake la kuchukiwa na Jamii litamgharimu sana yeye na mbaya zaidi atapelekea chuki kubwa na kwa watoto wake! Waliomdanganya kwa sasa wako pembeni kimya,ni yeye anakabiliana na pressure za Familia na kwenye mitamdao pia! Btw ni nani alimdanganya akatweet ile msg,kama anapitia zile comments nadhani anajuta kwanini alitweet!
 
Jike shupa linataka mali kwa nguvu, linataka livune lisichopanda, akomee mbafu huyo,
Hadi limemuua baba wa watu

Mtu kapewa mali kihalali wewe unasema kachukua kwa nguvu!
 
Kulinda Mali za Mengi serikali itaongea na Mahakama Wosia utatupwa maana unaonekana wa kitapeli

Sent using Jamii Forums mobile app

Hata mtoto mdogo anaona kabisa huo ulikuwa utapeli wa haki ya juu,kukosa Elimu nako kumechangia,angekuwa kasoma asingekubali kudanganywa na hao Ma Bush Lawyer wakamwingiza mkenge,sasa hivi anacheza sebene peke yake wao wako pembeni kimyaa!
 
Kama amefoji wosia basi watakwenda kuthibitishia mahakama maana kusema tuu hakutoshi bali kuthibitisha pasi shaka!

Nikuhakikishie ni vigumu familia ya Mengi kushinda hii case hata kwa dawa!
Muda ni ukuta mrudi anapoteza mechi mapema sana,tulieni muone mwisho wake wa utapeli

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom