Victoire
JF-Expert Member
- Jul 4, 2008
- 24,386
- 57,588
Haya dada.Kama kawaida yako, huu uzi ktk watu uliowagusa wewe ni namba one
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haya dada.Kama kawaida yako, huu uzi ktk watu uliowagusa wewe ni namba one
Nashukuru umekubali kua ni yatima nusu,
Kunywa maji ushushe hasira, maana naona neno Yatima limekua gumzo kuliko mada yenyewe,
Watanzania ndio tulivyo.
Itabidi wazae tu hamna namnaLkn Hawa watoto wakubwa wa mzee nao wanakosea? Kwanini hawazai asee?[emoji849][emoji849][emoji848] ...
Mdingi ndo maana akazaa na mjukuu wake, mitoto inaendeleza anasa mpaka inasahau familia yaaan..
Sent using Jamii Forums mobile app
Not someone....An orphan is someone whose parents have died, are unknown, or have permanently abandoned them. In common usage, only a child who has lost both parents due to death is called an orphan.
Not someone....
Kuna kigezo cha umri mkuu. Maana mtu mzima wa miaka 30 hawezi jiita yatima.
Watazaa tu, msiwape presha kihivyo...
Hakuna anayembishia ila anavyosahihisha watu na kuhusianisha kuhisi tunamwonea gere mdada mfiwa anazingua.Nimecopy paste google huko. Maana nikajua nitakutana na maana anayoisisitiza yeye.
Ukitaka kujua kama unapendwa na ndugu wa mme subiri akifa ndo utajua.
Sent using Jamii Forums mobile app