Jacqueline Ntuyabaliwe Mengi: Nimezuiwa kuingia kwenye kaburi la mume wangu. Nimechoka na sitakubali

Jacqueline Ntuyabaliwe Mengi: Nimezuiwa kuingia kwenye kaburi la mume wangu. Nimechoka na sitakubali

Huyu dem tayari kishaanza kudata,anabishana na watu social networks,tena huku changanyikeni instagram.Hii ndio tabu ya kudanga kutegemea K huku kichwani ukiwa huna idea ya kutengeneza chako,mwezake Rita ndani ya muda mfupi kaisimamisha Benchmark na project yake ya Bongo Star Search.
87478548_191521428745130_3017182410690570137_n.jpg


Yeye sasa hivi ukimuevaluate bado kitu anachokimiliki ni K ambayo haina thamani,amekaa na mgodi wa hela ana shindwa ,kucreate idea au project zitakazo muingizia hela leo kama angekuwa na akili sizani kama angekosa miradi yake binafsi ya kumwingizia bil 2 au 3 kwa mwaka na sizani kama anagekuwa na muda wa kugombania mali za mzee Mengi na familia ya Mengi inge muheshimu.

Najua watu humu mnaongea tu,watoto wa marehemu wamepigana sana kusimamamia mali zile ni ngumu sana,kumwachia mali ambayo wametumia MDA wao wote,AKILI zao zote,NGUVU zao zote kusimamisha makampuni za Baba yao.

Yule jack kama angekuwa na akili za utafutaji hata 10-25% ya utajiri wa Mengi ina mtosha sana,ila tatizo akili hiyo hana ya kuzalisha mali kupitia kichwa chake,yy kishazoea kuzalisha kupitia K.

Huyu hata wa kimwachia mali zote za marehemu NINA UHAKIKA,ATAZITAPANYA zote na watu wata MDHULUMU sababu hajui kutumia kichwa chake.
 
Daby,
Sikiliza mkaka/mdada,
Huo muda wa kuniandikia gazeti umeupata na bado unajifanya hufatilii familia baki, kati ya mimi na wewe nani anaifatilia hiyo familia?
Comment yangu ilikua fupi sana labda urudi ukaisome maana wala sikutaka kufatilia mada inasemaje, kikubwa niliongelea kuhusu mjane na yatima, sasa nyie kipi kimewakwaza? Jacky sio mjane? Watoto wake sio yatima, mimi sina hasira ila nakuona wewe unahasira hadi unaukana utaifa wako,

Haya sio mtanzania basi Waafrica ndio tulivyo.
 
An orphan is someone whose parents have died, are unknown, or have permanently abandoned them. In common usage, only a child who has lost both parents due to death is called an orphan.
Not someone....

Kuna kigezo cha umri mkuu. Maana mtu mzima wa miaka 30 hawezi jiita yatima.
 
Nimecopy paste google huko. Maana nikajua nitakutana na maana anayoisisitiza yeye.
Not someone....

Kuna kigezo cha umri mkuu. Maana mtu mzima wa miaka 30 hawezi jiita yatima.
 
Nimecopy paste google huko. Maana nikajua nitakutana na maana anayoisisitiza yeye.
Hakuna anayembishia ila anavyosahihisha watu na kuhusianisha kuhisi tunamwonea gere mdada mfiwa anazingua.

Jumuiya za kitaifa zililiangalia suala la uyatima kwa upana wake na kulipa uzito...hata mtoto aliyefiwa na baba tu ni yatima nusu...hata mlezi ambaye alikuwa anamtimizia mahitaji yake yote.
 
Ukimya wa upande mmoja na yanayoendelea ndo unafanya upande wa pili upige kelele na kutapatapa all the best guys ni mwendo wa kukomaa tu hakuna namna.....mpaka mwisho mtu apige yoweeeee kabisa kwenye taarifa ya habari ya saa 2 usiku na bado dawa ni ile ile kimya kimkakati.......hakuna kucheka na kima
 
Back
Top Bottom