ERoni
JF-Expert Member
- Jan 9, 2013
- 48,052
- 104,677
Familia za kitajiri wanaoana wenyewe kwa wenyewe, ikitokea mtu from nowhere akaja kuingia humo, lazima aumie. Hata Merghan Markle hakukubalika sana katika royal family, her black ancestry though ana hela zake lakini familia ya Eliza haijamkubali 100%.