Jacqueline Ntuyabaliwe Mengi: Nimezuiwa kuingia kwenye kaburi la mume wangu. Nimechoka na sitakubali

Jacqueline Ntuyabaliwe Mengi: Nimezuiwa kuingia kwenye kaburi la mume wangu. Nimechoka na sitakubali

Familia za kitajiri wanaoana wenyewe kwa wenyewe, ikitokea mtu from nowhere akaja kuingia humo, lazima aumie. Hata Merghan Markle hakukubalika sana katika royal family, her black ancestry though ana hela zake lakini familia ya Eliza haijamkubali 100%.
 
Sie na nani wewe? Tunakujibu ishirini hapa? Umenikera maana unajifanya mjuaji saana wewe ndiyo maana nakuandikia magazeti....na subiri kitabu nitaandika.

Sema ndivyo ulivyo sivyo wengine walivyo acha kujumuisha binadamu wengine wenye akili zao.

Unaona ulivyo mfuko endelea kunipa nchi hadi ufikie kunipa ukoo wako. Jacky awe mjane asiwe mjane wanawe wasiwe yatima ama wawe sio kesi kwangu..
Nimekukera??
Kutoa maoni yangu?? Wewe una matatizo ya akili si bure, kwa hiyo ulitaka wote tuwe kama misukule tuseme Ndiyooooooo, hatuna haki ya kuongea maoni yetu?

Wewe ndio unajifanya mjuaji kwa kudandia mada iliyokuzidi kimo, hadi unajikuta unaropoka kama mtu aliyeachishwa kazi ghafla.

"Sio kesi kwangu"; sasa ulini quote ili iweje?
 
Nilikuqoute ili uache majivuno.
 
An orphan is someone whose parents have died, are unknown, or have permanently abandoned them. In common usage, only a child who has lost both parents due to death is called an orphan.
Unamfahamu nzi? Ushamuona vile anavyopekecha mikono na miguu yake?
Ana maanisha wewe ukijua ya mbele mwingine anajua ya nyuma and vice versa,

Sasa wewe wakati unakimbilia google wenzio tunayajua kabla ya google haijaja kwenye dunia.
 
Nishakua na majivuno tena ya kusema Jacky ni mjane na watoto zake ni yatima au kuna mengine nisiyo yajua?
Bado huoni unajivuna tu.....? Ukikosoa kwa staha utaonekana wa maana saana.
 
Bado huoni unajivuna tu.....? Ukikosoa kwa staha utaonekana wa maana saana.
Hahahahahaha you people are smoking something very strong walai,
Sawa labda nitaanza kujifunza jinsi ya kuandika kwa staha.
 
Hahahahahaha you people are smoking something very strong walai,
Sawa labda nitaanza kujifunza jinsi ya kuandika kwa staha.
Jifunze itakusaidia saana... ila kabila nalo linachangia.
 
Jifunze itakusaidia saana... ila kabila nalo linachangia.
Halafu hii inakugusa hata wewe, usipende kuwaweka down watu kwa maoni yao na wewe ya kwako uone ni sahihi, free world.... Labda Kabila lako pia linachangia,
😕
 
Kwahiyo ulitaka huyu nkuruzinza afaidi mali aliyoikuta tayari,kuna mengi yanakuja na hakuna wa kumsaidia mana yeye ndio alitaka dhulumu kwa kufoji wosia wake na wanasheria njaaa,ipp wanasheria wake wanajulikana

Sent using Jamii Forums mobile app

Kama amefoji wosia basi watakwenda kuthibitishia mahakama maana kusema tuu hakutoshi bali kuthibitisha pasi shaka!

Nikuhakikishie ni vigumu familia ya Mengi kushinda hii case hata kwa dawa!
 
Halafu hii inakugusa hata wewe, usipende kuwaweka down watu kwa maoni yao na wewe ya kwako uone ni sahihi, free world.... Labda Kabila lako pia linachangia,
[emoji53]
Poa mkuu hapo nimekupata kabisa.....kunywa maji basi umkumbatie shemeji.
 
Hapana...unataka nilijue?
Kitu kikubwa nilichofunzwa na wazazi wangu, waalimu wangu na jamii yangu, nisiwahukumu watu kwa kabila lao, dini yao, rangi zao na kipato chao.

Naishi kwa misingi hiyo.
 
Hakuna cha huruma wala nini mbona hamkumfundisha adabu baba yenu akiwa hai mpaka mmesubiri amekufa? Mliogopa nini? This time ninyi wachagga ndio mtafunzwa kutii sheria bila shuruti maana kila kitu kiko wazi na Jaq sio mgawa mali ...

Kama ni mahakamani hamtoweza kushinda kamwe na ambacho mtafanikiwa ni kuua mali zote za Mengi alizozitafuta muda mrefu na akamchagua Jack kula nae....

Kampuni za mengi zitakufa zote kama hamto tafuta suluhu...

Sent from my iPhone using Tapatalk
Kampuni haziwezi kufa kizembe hivyo!!!.. kichaga mama akifa watoto mnapewa urithi na baba yenu!!..juu ya Hilo mama mercy ndio mwanzilishi mwenza wa ipp unadhani Jacky atatokea Wapi?!!..
 
Kitu kikubwa nilichofunzwa na wazazi wangu, waalimu wangu na jamii yangu, nisiwahukumu watu kwa kabila lao, dini yao, rangi zao na kipato chao.

Naishi kwa misingi hiyo.
Huwezi mtofautisha mtu na jamii yake....yeye ni kiwakilishi cha yaliyo kwenye jamii yake.

Sijakuhukumu wala...sema sipendi mtu anayejimwambafay.
 
Ni mtihani kwa kweli

klyn walau awagawie katika vile alivyoachiwa na mzee pia
Yaonekana ye ndo ana mali nyingi zaidi
Hana kitu alijisaha sana dada yenu!!..yeye siyo hata share holder wa IPP!!!..yeye anapigania Mali ya Reginald ambayo kwenye share za kampuni alikua kabakiza kidogo nyingi alikua kampa mkewe na watoto!!!...hicho kidogo ndio kinatakiwa kigawanywe pia!!!..
 
Back
Top Bottom