Jacqueline Wolper anatamani kumpa penzi Rais

Duu mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Maskini wee! Kweli hizi ni ndoto za mchana.
Kabisaaaaa. Sababu kama wapo wanaoliwaga kweli na hao mapresidaa inakuwa kimya kimya na hata ikiliki basi inakuwa ati ati yaani haiwi hundred percent kwamba kweli kaliwa.

Sasa huyo mwenzangu na mie hapo hajaliwa tayari anatangaza nia na je ikitokea kaliwa si dunia nzima itajuwa kwamba lengo lake limetimia Prisidaa kapita.

[emoji23] [emoji23] [emoji23] atuliage tu kwa kweli yana wenyewe hayoo.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] una laana we[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii ni mentality ya wanawake wengi Bongo hapo ulipo demu hata waifu wako anakumaindi kwasababu ya kitu fulani ulichonacho usidhani unapendwa.
 

Wenzake walitulia wakaolewa na watu wanaojielewa,awaache!
 
Aende kwa M7

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…