Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimejikuta nacheka kwa sauti
Maisha haya.... Kweli lilia bahati usililie uzuri, bibie na ulimbwende wake wote lakini bado anapigwa danadana na wanaume!Uuwiiii. Kazi kweyi kweyi.
Umeonaeee. Kabakia kuota ndoto za kusadikika. [emoji23] [emoji23] [emoji23]Maisha haya.... Kweli lilia bahati usililie uzuri, bibie na ulimbwende wake wote lakini bado anapigwa danadana na wanaume!
Mkuu, hiyo sio ndoto ya kitoto unless huwajui wanawake wewe
Yuko kama yule ulitoka kumsema sasa hivi [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ...halafu marafiki sasaWolper hana aibu kabisa jamani dah..!!
atafute bwana amsaidie awe rais sio akute vishaundwa
watu hadi ukatili ule bado wanammendea kweli wana huruma hawa
Maskini wee! Kweli hizi ni ndoto za mchana.Umeonaeee. Kabakia kuota ndoto za kusadikika. [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Duu mkuuFursa hiyo kwa Jiwe aichangamkie ila Madam DC hatokubali kunyang'anywa tonge kirahisi, itabidi asimamie kujipinda na kuzungusha kama pangaboi ili kumtega zaidi Bw. Jiwe
Kweli pesa na madaraka ndio kila kitu maana kama Jiwe angekuwa dalali wa vyumba yombo Buza angekuwa anaishia kutongoza walevi wa gongo tu leo hii warembo wanamtangazia fursa.
Kabisaaaaa. Sababu kama wapo wanaoliwaga kweli na hao mapresidaa inakuwa kimya kimya na hata ikiliki basi inakuwa ati ati yaani haiwi hundred percent kwamba kweli kaliwa.Maskini wee! Kweli hizi ni ndoto za mchana.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] una laana we[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Fursa hiyo kwa Jiwe aichangamkie ila Madam DC hatokubali kunyang'anywa tonge kirahisi, itabidi asimamie kujipinda na kuzungusha kama pangaboi ili kumtega zaidi Bw. Jiwe
Kweli pesa na madaraka ndio kila kitu maana kama Jiwe angekuwa dalali wa vyumba yombo Buza angekuwa anaishia kutongoza walevi wa gongo tu leo hii warembo wanamtangazia fursa.
Vyuma hivyo sio mchezo. Wameweka grisi aviachii.
Aende kwa M7Msanii wa filamu za Bongo Movie na mfanyabiashara Jacqueline Wolper amefunguka na kudai anatamani sana kama angetoa Penzi lake kwa Raisi.
Wolper amedai anaona ni bora kama atakuwa Kwenye Mahusiano ya Kimapenzi na Raisi yoyote Afrika kwani atakuwa salama zaidi kuliko kufaidi Penzi na wadanga wengine.
Kwenye mahojiano na Global Publishers, Wolper alisema mara nyingi amekuwa kwenye uhusiano wa kimapenzi na wanaume ambao mwishoni wanamsaliti jambo ambalo halipendi na linamkera, lakini anaamini akimpa moyo wake wa upendo Rais yeyote Afrika anaona atakuwa salama.
Unajua ndoto yangu mimi ningependa kutoa penzi langu kwa Rais maana najua kabisa, kwanza atakuwa ananiheshimu na itakuwa ni ngumu sana kunitenda kama wafanyavyo wengine na hapo nitatulia kabisa wala sitakumbuka wanaume wazugaji“.
Wolper amekuwa muwazi kuhusu maumivu anayokutana nayo Kwenye mapenzi yake ambapo uhusiano wake na staa wa Bongo fleva Harmonize uliisha baada ya kumuacha na Harmonize kuanza Mahusiano na sarah ambaye ana kipato kikubwa.
View attachment 848031
Sent using Jamii Forums mobile app
Hydrogen ukitia manganese 4 oxide uka heat!