Yani watu wanaaply live bila aibu kabisa yani.Vyuma hivyo sio mchezo. Wameweka grisi aviachii.
Mwenzio kashaona fursa mahala baada ya mwenziwe kunufaika.Si unajua akili za wabongo zisivyo na ubunifu.Nimejikuta nacheka kwa sauti
Unaweza kuthibitisha tuhuma zako hizo?! Mbona hata wewe unayo ngoma na watu hawasemi!!Ahhh wapi!
M..a..la..y..a huyo!
Aweke heshima kwa wake za marais!
HIV LAZIMA ANAYO walahi!
That’s all
Hapo mwisho umemshauri vizuri kama ana masikio na asikie tu. Ningekuwa yeye ningejichimbia na mambo yangu kimya kama alivyofanya SintaKabisaaaaa. Sababu kama wapo wanaoliwaga kweli na hao mapresidaa inakuwa kimya kimya na hata ikiliki basi inakuwa ati ati yaani haiwi hundred percent kwamba kweli kaliwa.
Sasa huyo mwenzangu na mie hapo hajaliwa tayari anatangaza nia na je ikitokea kaliwa si dunia nzima itajuwa kwamba lengo lake limetimia Prisidaa kapita.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] atuliage tu kwa kweli yana wenyewe hayoo.
Atr aseeAseme tu anautamani ukuu wa wilaya, mbona simple tu!
Sky huwa una ushauri mzuri sana !! Nakupenda bure kabisa, Mungu akulinde uendelee kutoa ilimWiller tafuta danga la kuzungu hata likikubwaga kwao limekuachia mikoba unaweza kuosha pup puu za wazee na ukapata pensheni mpaka kufa kwako.
Hizo dreams za kupata marais are so high and cheap dreams. Changamka kama dada wa kichaga.