Jacqueline Wolper anatamani kumpa penzi Rais

Jacqueline Wolper anatamani kumpa penzi Rais

Nimejikuta nacheka kwa sauti
Mwenzio kashaona fursa mahala baada ya mwenziwe kunufaika.Si unajua akili za wabongo zisivyo na ubunifu.

Fungua kijiwe cha Ice cream mahali baada ya mwezi utakuta umezungukwa na wauza ice cream kama 6 hivi utafikiri fursa ni moja tu...relate na akili za huyo wolper sasa!
 
Isije ikawa fake news
Hata screen shot hakuna, hatuwezi kuamini kila story nowadays bila uhakika.

Lakini kwa wanawake sishangai sana kwani ni viumbe wa ajabu sana.
Kuna askari magereza mwanamke alimpenda serial killer na aliuwa wanawake wengi na kuhukumiwa maisha lakini mdada akampenda na kutaka aolewe nae
Maajabu duniani hayaishi kwa hawa viumbe


Sent from my SM using Tapatalk
 
Wiolper tafuta danga la kuzungu hata likikubwaga kwao limekuachia mikoba unaweza kuosha puu puu za wazee na ukapata pensheni mpaka kufa kwako.

Hizo dreams za kupata marais are so high and cheap dreams. Changamka kama dada wa kichaga.
 
Kabisaaaaa. Sababu kama wapo wanaoliwaga kweli na hao mapresidaa inakuwa kimya kimya na hata ikiliki basi inakuwa ati ati yaani haiwi hundred percent kwamba kweli kaliwa.

Sasa huyo mwenzangu na mie hapo hajaliwa tayari anatangaza nia na je ikitokea kaliwa si dunia nzima itajuwa kwamba lengo lake limetimia Prisidaa kapita.

[emoji23] [emoji23] [emoji23] atuliage tu kwa kweli yana wenyewe hayoo.
Hapo mwisho umemshauri vizuri kama ana masikio na asikie tu. Ningekuwa yeye ningejichimbia na mambo yangu kimya kama alivyofanya Sinta
 
Willer tafuta danga la kuzungu hata likikubwaga kwao limekuachia mikoba unaweza kuosha pup puu za wazee na ukapata pensheni mpaka kufa kwako.

Hizo dreams za kupata marais are so high and cheap dreams. Changamka kama dada wa kichaga.
Sky huwa una ushauri mzuri sana !! Nakupenda bure kabisa, Mungu akulinde uendelee kutoa ilim

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom