Mwenzie yule kichwani zimo kidogo.Mwenzio kashaona fursa mahala baada ya mwenziwe kunufaika.Si unajua akili za wabongo zisivyo na ubunifu.
Fungua kijiwe cha Ice cream mahali baada ya mwezi utakuta umezungukwa na wauza ice cream kama 6 hivi utafikiri fursa ni moja tu...relate na akili za huyo wolper sasa!
Hivi hamna familia zinazowategemea nyie????Fursa hiyo kwa Jiwe aichangamkie ila Madam DC hatokubali kunyang'anywa tonge kirahisi, itabidi kujipinda na kuzungusha kama pangaboi ili kumtega zaidi Bw. Jiwe
Kweli pesa na madaraka ndio kila kitu maana kama Jiwe angekuwa dalali wa vyumba yombo Buza angekuwa anaishia kutongoza walevi wa gongo tu, leo hii warembo wanamtangazia fursa.
Familia imefanyaje hapa?Hivi hamna familia zinazowategemea nyie????