Fursa hiyo kwa Jiwe aichangamkie ila Madam DC hatokubali kunyang'anywa tonge kirahisi, itabidi kujipinda na kuzungusha kama pangaboi ili kumtega zaidi Bw. Jiwe
Kweli pesa na madaraka ndio kila kitu maana kama Jiwe angekuwa dalali wa vyumba yombo Buza angekuwa anaishia kutongoza walevi wa gongo tu, leo hii warembo wanamtangazia fursa.
haaaaa haaaa wewe acha umbeaLakini hana digrii bwana yule anapenda wasomi
Hili nali ni neno ninaupenda umbea kuliko maelezohaaaaa haaaa wewe acha umbea
Utakapoingia kwenye kiroba ndo utaelewa uhusiano uliopoKuwa na familia na kutaka kwa Wolper uroda kwa raisi kunahusiana nini?
Kwani Manzese ipo Africa?Aende kwa raisi wa manzese , akamgawie uruda maana na yy yupo Africa pia
Sent using Jamii Forums mobile app
Itabidi aongeze na kutoa 071....Fursa hiyo kwa Jiwe aichangamkie ila Madam DC hatokubali kunyang'anywa tonge kirahisi, itabidi kujipinda na kuzungusha kama pangaboi ili kumtega zaidi Bw. Jiwe
Kweli pesa na madaraka ndio kila kitu maana kama Jiwe angekuwa dalali wa vyumba yombo Buza angekuwa anaishia kutongoza walevi wa gongo tu, leo hii warembo wanamtangazia fursa.
epuka kuishi kwa kukariri bwana mdogo. sio kila alie nyuma ya keyboard ni zwazwa kama udhaniavyo.Utakapoingia kwenye kiroba ndo utaelewa uhusiano uliopo
Umemaliza mkuu.Aseme tu anautamani ukuu wa wilaya, mbona simple tu!
Msanii wa filamu za Bongo Movie na mfanyabiashara Jacqueline Wolper amefunguka na kudai anatamani sana kama angetoa Penzi lake kwa Raisi.
Wolper amedai anaona ni bora kama atakuwa Kwenye Mahusiano ya Kimapenzi na Raisi yoyote Afrika kwani atakuwa salama zaidi kuliko kufaidi Penzi na wadanga wengine.
Kwenye mahojiano na Global Publishers, Wolper alisema mara nyingi amekuwa kwenye uhusiano wa kimapenzi na wanaume ambao mwishoni wanamsaliti jambo ambalo halipendi na linamkera, lakini anaamini akimpa moyo wake wa upendo Rais yeyote Afrika anaona atakuwa salama.
Unajua ndoto yangu mimi ningependa kutoa penzi langu kwa Rais maana najua kabisa, kwanza atakuwa ananiheshimu na itakuwa ni ngumu sana kunitenda kama wafanyavyo wengine na hapo nitatulia kabisa wala sitakumbuka wanaume wazugaji“.
Wolper amekuwa muwazi kuhusu maumivu anayokutana nayo Kwenye mapenzi yake ambapo uhusiano wake na staa wa Bongo fleva Harmonize uliisha baada ya kumuacha na Harmonize kuanza Mahusiano na sarah ambaye ana kipato kikubwa.
View attachment 848031
anahitaji kuwa salama kwani ana kitu gani cha muhimu ana K ya Almasi