Jacqueline Wolper anatamani kumpa penzi Rais

Jacqueline Wolper anatamani kumpa penzi Rais

Fursa hiyo kwa Jiwe aichangamkie ila Madam DC hatokubali kunyang'anywa tonge kirahisi, itabidi kujipinda na kuzungusha kama pangaboi ili kumtega zaidi Bw. Jiwe
Kweli pesa na madaraka ndio kila kitu maana kama Jiwe angekuwa dalali wa vyumba yombo Buza angekuwa anaishia kutongoza walevi wa gongo tu, leo hii warembo wanamtangazia fursa.

yombo buza😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀
 
Itabidi aongeze na kutoa 071....
 
Huyu naskia kamvalisha first lady wa kenya kikoti cha kitenge hapo anatangaza kijanja nini kuwa ni first lady mchepuko nyuma ya pazia
Huyu alichumbiwa baada ya kuachana na harmonize yaliishia wapi au kik
 
Msanii wa filamu za Bongo Movie na mfanyabiashara Jacqueline Wolper amefunguka na kudai anatamani sana kama angetoa Penzi lake kwa Raisi.
Wolper amedai anaona ni bora kama atakuwa Kwenye Mahusiano ya Kimapenzi na Raisi yoyote Afrika kwani atakuwa salama zaidi kuliko kufaidi Penzi na wadanga wengine.

Kwenye mahojiano na Global Publishers, Wolper alisema mara nyingi amekuwa kwenye uhusiano wa kimapenzi na wanaume ambao mwishoni wanamsaliti jambo ambalo halipendi na linamkera, lakini anaamini akimpa moyo wake wa upendo Rais yeyote Afrika anaona atakuwa salama.

Unajua ndoto yangu mimi ningependa kutoa penzi langu kwa Rais maana najua kabisa, kwanza atakuwa ananiheshimu na itakuwa ni ngumu sana kunitenda kama wafanyavyo wengine na hapo nitatulia kabisa wala sitakumbuka wanaume wazugaji“.

Wolper amekuwa muwazi kuhusu maumivu anayokutana nayo Kwenye mapenzi yake ambapo uhusiano wake na staa wa Bongo fleva Harmonize uliisha baada ya kumuacha na Harmonize kuanza Mahusiano na sarah ambaye ana kipato kikubwa.

View attachment 848031

anahitaji kuwa salama kwani ana kitu gani cha muhimu ana K ya Almasi
 
Huyu aliwahi kuingia hadi msikitini kuswali. Kilichompeleka huko ni nguvu ya mwanaume!
 
Back
Top Bottom