Jacqueline Wolper: Naapa kutokumuacha salama Baba P endapo atazingua

Frumence M Kyauke

JF-Expert Member
Joined
Aug 30, 2021
Posts
630
Reaction score
1,262
Staa wa filamu Bongo Jacqueline Wolper anasema hawezi kumuacha salama mpenzi wake Rich Mitindo 'Baba P' kama atamuumiza na kumpiga matukio kwenye mahusiano.

Jacqueline Wolper ameongeza kusema endapo Rich Mitindo akimzingua hataweza kumvumilia, atatoa taarifa kwa kinachoendelea kupitia akaunti zake za mitandao ya kijamii kama Snapchat, WhatsApp status na Instagram.

images (1).jpeg
 
Sijaelewa, huu ni mkwara anapigwa jamaa asikate kamba akakimbia au umma unataarifiwa kwamba kwa sasa mahusiano yako vizuri.

Ila umaarufu kazi sana, kila kitu unafanya kwa kuwafikiria na kuwawaza watu wengine.
 
Watu na mahaba yao, enwei, mapenzi hayana formula.
 
Staa wa filamu Bongo Jacqueline Wolper anasema hawezi kumuacha salama mpenzi wake Rich Mitindo 'Baba P' kama atamuumiza na kumpiga matukio kwenye mahusiano.

Jacqueline Wolper ameongeza kusema endapo Rich Mitindo akimzingua hataweza kumvumilia, atatoa taarifa kwa kinachoendelea kupitia akaunti zake za mitandao ya kijamii kama Snapchat, WhatsApp status na Instagram.

Hiki kizee hakina soko kimebaki kujisifia tu
 
Back
Top Bottom