Frumence M Kyauke
JF-Expert Member
- Aug 30, 2021
- 630
- 1,262
Na Dume limetuliza Gololi zake uvunguni[emoji23]Yaani kijana anapigwa mkwara hadharani
For all you know, jamaa anapiga matukio na nawezekana mwanamama kahisi kitu ndio maana kaamua kutishia nyau!!Hii thread tuna ihifadhi then tutarudi siku wa kizinguana.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
KvpAfu unantengaa
Hiki kizee hakina soko kimebaki kujisifia tuStaa wa filamu Bongo Jacqueline Wolper anasema hawezi kumuacha salama mpenzi wake Rich Mitindo 'Baba P' kama atamuumiza na kumpiga matukio kwenye mahusiano.
Jacqueline Wolper ameongeza kusema endapo Rich Mitindo akimzingua hataweza kumvumilia, atatoa taarifa kwa kinachoendelea kupitia akaunti zake za mitandao ya kijamii kama Snapchat, WhatsApp status na Instagram.