INAUZWA Jacuzzi jipya linauzwa

Ukishafunga ukatumia haliwezi kuwa Jipya Mkuu. Ni Used hilo. Hata kama limeogewa mara moja tu. Tayari ni Used.
Halijaogewa hata mara moja. Maji niliyotegemea kuyaingiza humo yakawa hayatoshi kulijaza kwa wakati mmoja. Nilifunga sorah heter ndio nilitegemea ijaze maji ya moto. Sasa mtungi wake ni mdogo,ikipasha maji kwa mara moja kimtungi mpaka kupasha mengine inachukua muda. Kwa hiyo ili kulijaza Jacuuz inatakiwa kupasha hata mara 6,7,inaweza kuchukua siku 3. Ndio changamoto iliyonifanya nisilitumie. Labda ukiniambia kutolewa kwenye box na kufungwa tayari limeondolewa upya.
 
Lako maji chumvi yashalitafuna sana hizo cock na hiyo telephone shawer ishapiga kutu bora hata hili languView attachment 2475638
Wee lako kula laki 3 niwawekee bata wangu hawana pa kuogelea hili nitalichimbia chini
Hivi hapa unaogaje? na hii miguu naingiaje hapo mbona ntajikunja kama foetus? acheni tu niendelee kujimwagia kwa hii ndoo yangu ya njano.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…