Watu8
Platinum Member
- Feb 19, 2010
- 73,773
- 102,126
Halijaogewa hata mara moja. Maji niliyotegemea kuyaingiza humo yakawa hayatoshi kulijaza kwa wakati mmoja. Nilifunga sorah heter ndio nilitegemea ijaze maji ya moto. Sasa mtungi wake ni mdogo,ikipasha maji kwa mara moja kimtungi mpaka kupasha mengine inachukua muda. Kwa hiyo ili kulijaza Jacuuz inatakiwa kupasha hata mara 6,7,inaweza kuchukua siku 3. Ndio changamoto iliyonifanya nisilitumie. Labda ukiniambia kutolewa kwenye box na kufungwa tayari limeondolewa upya.
Umefunga Solar Heater ya ujazo gani?
Na hilo jaccuzi lako lina ujazo kiasi gani?
Sisi wabongo huwa hatuna plan kabisa kwenye ujenzi, vitu vingi watu hutegemea akili na plans za mafundi...
Dude kama hilo kwanza linahitaji uwepo wa maji yenye pressure, na sia ajabu kwako huna hata pressure pump pindi maji ya idara yakikata...