INAUZWA Jacuzzi jipya linauzwa

INAUZWA Jacuzzi jipya linauzwa

Halijaogewa hata mara moja. Maji niliyotegemea kuyaingiza humo yakawa hayatoshi kulijaza kwa wakati mmoja. Nilifunga sorah heter ndio nilitegemea ijaze maji ya moto. Sasa mtungi wake ni mdogo,ikipasha maji kwa mara moja kimtungi mpaka kupasha mengine inachukua muda. Kwa hiyo ili kulijaza Jacuuz inatakiwa kupasha hata mara 6,7,inaweza kuchukua siku 3. Ndio changamoto iliyonifanya nisilitumie. Labda ukiniambia kutolewa kwenye box na kufungwa tayari limeondolewa upya.

Umefunga Solar Heater ya ujazo gani?

Na hilo jaccuzi lako lina ujazo kiasi gani?

Sisi wabongo huwa hatuna plan kabisa kwenye ujenzi, vitu vingi watu hutegemea akili na plans za mafundi...

Dude kama hilo kwanza linahitaji uwepo wa maji yenye pressure, na sia ajabu kwako huna hata pressure pump pindi maji ya idara yakikata...
 
Fanya cold bath! 🤣🤣🤣

Weka ice uwe unakoga kila siku asubuhi...

Inasaidia ku-activate dopamine and dopaminergic receptors, ina-slow heart beats, ina-burn fat....
Ok. Kwa hiyo kama saa hizi asubuhi,kawaida yangu nawahi mazoezi ya saa 1½ daily. Naweza kuoga maji ya baridi kawaida bila ice ikasaidia pia kupooza kama ulivyosema?.
Kumbuka tunashauriwa pia kuoga ya moto ukitoka mazoezi,ksbb mwili unakuwa na joto usiupooze ghafla. Vipi hapo mkuu?
 
Huoni hizo accessories zina matabaka ya chumvi ngumu iliyopo kwenye maji?
Sababu tu ya picha labda. Lakini ukiliona moja kwa moja utaona halina hata chembe ya kutu. Liliwekwa maji ya baridi siku ya kwanza kuona utendaji wake hasa mafundi.
Pia huku niliko Hakuna maji chumvi. Labda kama kila Aina ya maji ina asili ya chumvi?. Siko dar kwenye maji chumvi
 
Umefunga Solar Heater ya ujazo gani?

Na hilo jaccuzi lako lina ujazo kiasi gani?

Sisi wabongo huwa hatuna plan kabisa kwenye ujenzi, vitu vingi watu hutegemea akili na plans za mafundi...

Dude kama hilo kwanza linahitaji uwepo wa maji yenye pressure, na sia ajabu kwako huna hata pressure pump pindi maji ya idara yakikata...
Ndio hilo limeniangusha mkuu.
 
Halijaogewa hata mara moja. Maji niliyotegemea kuyaingiza humo yakawa hayatoshi kulijaza kwa wakati mmoja. Nilifunga sorah heter ndio nilitegemea ijaze maji ya moto. Sasa mtungi wake ni mdogo,ikipasha maji kwa mara moja kimtungi mpaka kupasha mengine inachukua muda. Kwa hiyo ili kulijaza Jacuuz inatakiwa kupasha hata mara 6,7,inaweza kuchukua siku 3. Ndio changamoto iliyonifanya nisilitumie. Labda ukiniambia kutolewa kwenye box na kufungwa tayari limeondolewa upya.
Hayo matatizo yote bado unamsogezea mtu kwa 2m. Pole brother
 
Halijaogewa hata mara moja. Maji niliyotegemea kuyaingiza humo yakawa hayatoshi kulijaza kwa wakati mmoja. Nilifunga sorah heter ndio nilitegemea ijaze maji ya moto. Sasa mtungi wake ni mdogo,ikipasha maji kwa mara moja kimtungi mpaka kupasha mengine inachukua muda. Kwa hiyo ili kulijaza Jacuuz inatakiwa kupasha hata mara 6,7,inaweza kuchukua siku 3. Ndio changamoto iliyonifanya nisilitumie. Labda ukiniambia kutolewa kwenye box na kufungwa tayari limeondolewa upya.
Yeaah.... Ukitoa kwenye box ukafunga tayari limeshakuwa used. Bei yake itashuka.
 
Ok. Kwa hiyo kama saa hizi asubuhi,kawaida yangu nawahi mazoezi ya saa 1½ daily. Naweza kuoga maji ya baridi kawaida bila ice ikasaidia pia kupooza kama ulivyosema?.
Kumbuka tunashauriwa pia kuoga ya moto ukitoka mazoezi,ksbb mwili unakuwa na joto usiupooze ghafla. Vipi hapo mkuu?

Mkuu mm sina uzoefu na mambo hayo ila ninachojua mazoezi kama ya kukimbia, afterwards cold bath is a preferred option wanaita cryotherapy, unaweza ku-google ukapata ABCs zake.

Kama ni ya stretching -kama heavy weight- hapana; warm bath ni bora zaidi, baadhi ya siku unafanya steaming/nyungu kabisa nadhani ndio wanaita sauna or something like that.

Any bathing, ni vyema kuupa mwili muda urudi joto la kawaida kabla ya kuanza kama ulivyosema.
 
Wewe umeona nimeweka bei ya dukani mkuu? Au umekimbilia tu?. Hiyo dukani ni milioni 3,5000,000. Kwa sasa inaweza kufika mpaka 3.6,7+. Mimi nimekuambia milioni 2 tu au kwako bado haijashuka?
Basi Mkuu, basi....tusigombane sisi sote ndugu moja. Sawa eeeeeh.... Tusameheane please.... Usikwazike hivyo. Daaahh....sikujua ungedhabika hivyo.
 
mbona halina TV,hilo kama naliweka ni kwa ajili ya mama watoto na mipumbu yangu nianze kugalagala humu natafuta nini
 
Hivi hapa unaogaje? na hii miguu naingiaje hapo mbona ntajikunja kama foetus? acheni tu niendelee kujimwagia kwa hii ndoo yangu ya njano.

Hilo la kuogelea fulani likijaa maji unakaa huko kinaonekana kichwa tuu mnakaa na mwenzako huko kurushiana rushiana maji hadi mtakapochoka ndio mnayoka huko sasa yaani ukiwa nalo unapunguza pungusa msongo wa mawazo[emoji39]
 
Umefunga Solar Heater ya ujazo gani?

Na hilo jaccuzi lako lina ujazo kiasi gani?

Sisi wabongo huwa hatuna plan kabisa kwenye ujenzi, vitu vingi watu hutegemea akili na plans za mafundi...

Dude kama hilo kwanza linahitaji uwepo wa maji yenye pressure, na sia ajabu kwako huna hata pressure pump pindi maji ya idara yakikata...

Kwenye west (maji yanakopita kutoka nje)kuna kifuniko chake ukitaka lijae maji unapafunika maji yanajaa hadi kuu kabisa kuna west nyingine za overfloo maji yakifikia hapo yanapita yanaenda nje pia baada ya kuchezea majivhayo kama bata sasa badae unafunua majivyanatoka yote unasuuza jakuz lako linabaki safi kabisa
 
Back
Top Bottom