Kazakh destroyer
JF-Expert Member
- Nov 16, 2017
- 3,278
- 6,843
Hahaha ni sawa ila mbona dogo sana au picha maana ushamba huu.Hilo la kuogelea fulani likijaa maji unakaa huko kinaonekana kichwa tuu mnakaa na mwenzako huko kurushiana rushiana maji hadi mtakapochoka ndio mnayoka huko sasa yaani ukiwa nalo unapunguza pungusa msongo wa mawazo[emoji39]