Kazakh destroyer
JF-Expert Member
- Nov 16, 2017
- 3,278
- 6,843
Hahaha ni sawa ila mbona dogo sana au picha maana ushamba huu.Hilo la kuogelea fulani likijaa maji unakaa huko kinaonekana kichwa tuu mnakaa na mwenzako huko kurushiana rushiana maji hadi mtakapochoka ndio mnayoka huko sasa yaani ukiwa nalo unapunguza pungusa msongo wa mawazo[emoji39]
Uko sehem gani tuongee hii biasharaWakuu samahani nina Jacuuz jipya naliuza kwa milioni 2 tu.
Naliuza ksbb kwangu kuna changamoto ya maji moto.
Karibu.
View attachment 2475612View attachment 2475615View attachment 2475616
TAFUTA HELA,
Anadhan watu watoto wakat stains za maji zinaonekana
Hahaha ni sawa ila mbona dogo sana au picha maana ushamba huu.
Hapa sawa mkuu.Ni kubwa likijaa maji yanakaribia lita 60 au 80