Boeing787-8
JF-Expert Member
- Aug 16, 2018
- 1,155
- 1,209
Trump Jr Tena? Bora kale ka Congressional woman ka New York EliseNikiri hata mimi nilimshangaa Trump kumchagua Vance, kwa wakati ule niliona chaguo sahihi ni Vivek lakini baada ya jana nimejionea mwenyewe Vance anastahili zaidi.
Vance bado mdogo anaandaliwa kuwa Rais chini ya mentorship ya mwalimu wake Donald J Trump, Ni kijana mwenye miaka 40 ila smart, Patriotic, Pro America, Debate ya jana ni wazi kabisa Vance kaishinda.
Vance huwa anakiri alikuwa anampinga Trump kabla ya 2016 lakini Mzee alipoingia ikulu na kuanza kuchapa kazi, Vance alianza kumkubali.
Nje ya Vance, Republicans wana stock ya kutosha ya vijana presedential materials Pro Americans kama kina Vivek na Trump Jr.
Fatilia kina Makala na SuguSiku hizi nimekuwa mvivu kufuatilia siasa za Marekani yani hao wote sijawajua misimamo yao.
Wasiojulikana wa marekani wanakamatwa ila wa huku ni balaa,hawaachi hata alama ili wakamatwe...
Mfatilie, Ni copy ya baba yake kwenye siasa ila kajikita zaidi kusimamia biashara za familia, huko mbele anaweza kuingia kwenye siasaTrump Jr Tena? Bora kale ka Congressional woman ka New York Elise
"Jade Vance" ndiyo nani?Jana kulikuwa na debate kati ya Jade Vance wa chama Cha republican na Tim Walz kutoka democrats.
Niliangalia hiyo debate, yaani Trump alipomchagua Vance, watu waliona Kama amechagua chaguo lisilo sahihi, hata Republican wenzake walikuwa hawamkubali Vance.
Debate ya Jana imebadilisha Kila kitu, Vance Yuko smart sana na more intelligent kuliko Trump.
Kwenye mitandao Wamarekani wanasema Vance ni presidential material ndo alipaswa kugombea na sio Trump.
Hapa Trump alipiga cate nzuri sana
Watu mkiamua kumchukia mtu mpo tayari hata kufa.Jana kulikuwa na debate kati ya Jade Vance wa chama Cha republican na Tim Walz kutoka democrats.
Niliangalia hiyo debate, yaani Trump alipomchagua Vance, watu waliona Kama amechagua chaguo lisilo sahihi, hata Republican wenzake walikuwa hawamkubali Vance.
Debate ya Jana imebadilisha Kila kitu, Vance Yuko smart sana na more intelligent kuliko Trump.
Kwenye mitandao Wamarekani wanasema Vance ni presidential material ndo alipaswa kugombea na sio Trump.
Hapa Trump alipiga cate nzuri sana
Kunywa majina mkuuWatu mkismua kumchukia mtu mpo tayari hata kufa.
Vance ni chaguo la Trump sanabu kwa Vance kuna kitu Trump alikiona ingawa wengi wenu hamkikuona hadi ulipofanyika Mdaharo.
Baada ya Mdaharo mnaanza kumfananisha na kumringanisha Vance na Trump wakati wapo team moja badala ya kumlinganisha Vance na upande wa pili.
Ni Vance"Jade Vance" ndiyo nani?
Sema na ka Ivanka kalkuwa moto sana, round hii sikaoniMfatilie, Ni copy ya baba yake kwenye siasa ila kajikita zaidi kusimamia biashara za familia, huko mbele anaweza kuingia kwenye siasa
"Jade Vance" ni nani?Ni Vance
J.D. VanceJade Vance
NotedJ.D. Vance
Abisa yaani Trump na Kamala hamna kituJ D Vance is sharp! I peeped that very early.
Of the 4 people running for president/vice president, he is clearly the smartest, by far.
Kamala and Trump are the dumbest.