Jade Vance amemzidi mbali boss wake Trump

Boeing787-8

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2018
Posts
1,155
Reaction score
1,209
Jana kulikuwa na debate kati ya Jade Vance wa chama Cha republican na Tim Walz kutoka democrats.

Niliangalia hiyo debate, yaani Trump alipomchagua Vance, watu waliona Kama amechagua chaguo lisilo sahihi, hata Republican wenzake walikuwa hawamkubali Vance.

Debate ya Jana imebadilisha Kila kitu, Vance Yuko smart sana na more intelligent kuliko Trump.

Kwenye mitandao Wamarekani wanasema Vance ni presidential material ndo alipaswa kugombea na sio Trump.

Soma Pia: Donald Trump Amteua Mgombea Mwenza wake Mwenye Umri wa Miaka 39

Hapa Trump alipiga cate nzuri sana
 
Nikiri hata mimi nilimshangaa Trump kumchagua Vance, kwa wakati ule niliona chaguo sahihi ni Vivek lakini baada ya debate ya jana tumejionea Vance anastahili zaidi, Katushangaza !!

Vance bado mdogo anaandaliwa kuwa Rais chini ya mentorship ya role model wake Donald J Trump, Ni kijana mwenye miaka 40 ila smart, Patriotic, Pro America, Ex Marine Soldier. Debate ya jana Waltz alikuwa anastuka kila mara kijana anapotoa points konzi.

Vance huwa anakiri alikuwa anampinga Trump kabla ya 2016 lakini Mzee alipoingia ikulu na kuanza kuchapa kazi, Vance alianza kumkubali.

Nje ya Vance, Republicans wana stock ya kutosha ya vijana presedential materials Pro Americans kama kina Vivek na Trump Jr.
 
Nikiri hata mimi nilimshangaa Trump kumchagua Vance, kwa wakati ule niliona chaguo sahihi ni Vivek lakini baada ya jana nimejionea mwenyewe Vance anastahili zaidi.

Vance bado mdogo anaandaliwa kuwa Rais chini ya mentorship ya mwalimu wake Donald J Trump, Ni kijana mwenye miaka 40 ila smart, Patriotic, Pro America, Debate ya jana ni wazi kabisa Vance kaishinda.

Vance huwa anakiri alikuwa anampinga Trump kabla ya 2016 lakini Mzee alipoingia ikulu na kuanza kuchapa kazi, Vance alianza kumkubali.

Nje ya Vance, Republicans wana stock ya kutosha ya vijana presedential materials Pro Americans kama kina Vivek na Trump Jr.
Trump Jr Tena? Bora kale ka Congressional woman ka New York Elise
 
Siku hizi nimekuwa mvivu kufuatilia siasa za Marekani yani hao wote sijawajua misimamo yao.
 
Trump Jr Tena? Bora kale ka Congressional woman ka New York Elise
Mfatilie, Ni copy ya baba yake kwenye siasa ila kajikita zaidi kusimamia biashara za familia, huko mbele anaweza kuingia kwenye siasa
 
Jana kulikuwa na debate kati ya Jade Vance wa chama Cha republican na Tim Walz kutoka democrats.

Niliangalia hiyo debate, yaani Trump alipomchagua Vance, watu waliona Kama amechagua chaguo lisilo sahihi, hata Republican wenzake walikuwa hawamkubali Vance.

Debate ya Jana imebadilisha Kila kitu, Vance Yuko smart sana na more intelligent kuliko Trump.

Kwenye mitandao Wamarekani wanasema Vance ni presidential material ndo alipaswa kugombea na sio Trump.

Hapa Trump alipiga cate nzuri sana
"Jade Vance" ndiyo nani?
 
Watu mkiamua kumchukia mtu mpo tayari hata kufa.
Vance ni chaguo la Trump sababu kwa Vance kuna kitu Trump alikiona ingawa wengi wenu hamkikuona hadi ulipofanyika Mdaharo.
Baada ya Mdaharo mnaanza kumfananisha na kumringanisha Vance na Trump wakati wapo team moja badala ya kumlinganisha Vance na upande wa pili.
 
Watu mkismua kumchukia mtu mpo tayari hata kufa.
Vance ni chaguo la Trump sanabu kwa Vance kuna kitu Trump alikiona ingawa wengi wenu hamkikuona hadi ulipofanyika Mdaharo.
Baada ya Mdaharo mnaanza kumfananisha na kumringanisha Vance na Trump wakati wapo team moja badala ya kumlinganisha Vance na upande wa pili.
Kunywa majina mkuu
 
Mfatilie, Ni copy ya baba yake kwenye siasa ila kajikita zaidi kusimamia biashara za familia, huko mbele anaweza kuingia kwenye siasa
Sema na ka Ivanka kalkuwa moto sana, round hii sikaoni
 
Wengine hatujui kiingilishi hivyo hatujui wanavyoviongeaga?
 
Jamaa anapokaa eye shadow, na eye liner, mimacho yake ya kuzimu inaeleza wazi kinini Wamarekani na dunia tutapata.

Mjadala inabidi uwe inakuwaje mwanamme mzima anapokaa eye liner.
 
J D Vance is sharp! I peeped that very early.

Of the 4 people running for president/vice president, he is clearly the smartest, by far.

Kamala and Trump are the dumbest.
 
K

Abisa yaani Trump na Kamala hamna kitu
 
Back
Top Bottom