Boeing787-8
JF-Expert Member
- Aug 16, 2018
- 1,155
- 1,209
Jana kulikuwa na debate kati ya Jade Vance wa chama Cha republican na Tim Walz kutoka democrats.
Niliangalia hiyo debate, yaani Trump alipomchagua Vance, watu waliona Kama amechagua chaguo lisilo sahihi, hata Republican wenzake walikuwa hawamkubali Vance.
Debate ya Jana imebadilisha Kila kitu, Vance Yuko smart sana na more intelligent kuliko Trump.
Kwenye mitandao Wamarekani wanasema Vance ni presidential material ndo alipaswa kugombea na sio Trump.
Soma Pia: Donald Trump Amteua Mgombea Mwenza wake Mwenye Umri wa Miaka 39
Hapa Trump alipiga cate nzuri sana