Jaden Smith (mtoto wa Will Smith) atangaza kujihusisha na mapenzi ya jinsi moja

HIZI DINI ZA MASHETANI NDI ZINAHARIBU VIJANA WETU KUWA MASHOGA, WASAGAJI, WAUZA MADAWA, WAVUTA BANGI NK..... ni hatar sana sana tu.. ulaya kuzuri ila ukiwa na mwanao kubaliana na yote hayo...
 
Yani siku nayokuja kujua mtt wangu anabokolewa basi nitamrudisha kwa muumba wake muda huohuo
Ufungwe maisha kwa sababu hiyo mkuu?! Hapana, ndiyo ishatokea, haitabadili ukweli kwamba ni mtoto wako, cha kufanya ni kumpenda na kumweleza ukweli kwamba hamkubaliani na uchafu huo, sana sana iachie dola ifanye kazi yake, ila mapenzi kwa mtoto lazima yabaki pale pale, hakuna jinsi...
 
tuwe makini na vijitabu na katuni za watoto toka ughaibuni , Baadhi zina element hizo za kisodoma
 
Mkuu shetani huyo
 
Na kale ka willow kasagaji muda tu swaga za kisagaji

Maskini will kabakia na yule first born wake
 
Mwambie RAY kigosi ambadilia mwane jina Haraka JADEN wa will smith kwa mchicha.

Halafu ray nae anamvlisha mwanae hereni[emoji86] [emoji57] [emoji15]
 
[emoji15] [emoji15] silijui hili
Sheria ya kuanzisha kampuni ya Entertainment and Films Hollywood ni lazima kuwa ama kuajiri LGBT community awe Director, Producer, Sound Engineer, Editor, Visual Effects Artist, DOP, Screenplay Writer, Author, IT and Labs, Transportation Unit, Graphic Artist and so on kwahiyo hamna jinsi ya kuwakwepa

Vilevile movie itakayo husisha watu zaidi ya 12 ni lazima iwape nafasi LGBT community awe actor au actress

Not a Gay nor Bisexual
 
HADI RAHA.
 
Hivi ni sikuhizi watu akili zinaruka au nini?! Mbona mchezo huo naona unapamba moto, ndio kusema tunakaribia kuchomwa moto au?! Maskini kizazi cha sasa kimekuwa kigumu sana unakaa zako ukijua una dume lako la mbegu kumbe nae kashaanza kupanguliwa marida siku yingi. Inauma aisee! Unajikuta mtoto wa kiume huna tena
 
nonsense.. nenda kasafishwe mtaro
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…