hearly
JF-Expert Member
- Jun 19, 2014
- 45,678
- 63,304
Asante " Binamu umetoweka sanabinamu ni kweli kabisa!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Asante " Binamu umetoweka sanabinamu ni kweli kabisa!
NIKO NASAFISHA MTARO WA BABA YAKO HAPA.nonsense.. nenda kasafishwe mtaro
Hapana, naona alilipwa kuhamasisha na kuuambia ulinwengu kua mwanaune yeyote anaweza kuwa gay.Hivi kwa Ronaldo ni kweli au fix?
hahaa ..imekuchoma kama pasi " Baba yangu ni pasta hanaga ukaribu MA machokoNIKO NASAFISHA MTARO WA BABA YAKO HAPA.
HAIJANICHOMA LOLOTE MBONA.hahaa ..imekuchoma kama pasi " Baba yangu ni pasta hanaga ukaribu MA machoko
Kwamba umesahau au umeanza kuona upuuzi wakoUPUUZI GANI?
Jada bora angeolewa na mpenzi wake wa siku nyingi sana Tupac Shakur...lazima angezaa gangstars.....sio milenda kama hiiHichi kijamaa nilianza kukistukia kwenye movie ya Karate Kid...kilikuwa kina mambo ya kike kike mnoo
Bado mdogo wake Willow nae ni msagaji, Jada atalia na kusaga meno daaah!
NIKUMBUSHE.Kwamba umesahau au umeanza kuona upuuzi wako
Nilikua nacheki documentary ya whitney 2018 juzi kati hapo..... yani unaona kabisa jinsi alivokua anaelekea kaburini... Bobby ni muhuni to the core kaishi geto toka mdogo.. wakati whtney alikua wa kishua kiaina.... af jamaa alikua anampelekesha sana bidadaNa kweli asee....ila Bobby mbona kachomoka kifo,yaan yy ni teja kuliko hata huyo Whitney ( nahis had now anatumia ukimuangalia usoni)...yaan full raha anazaa kila siku kwenye ndoa yake!
Nnamashaka na marinda yakoSIJAELEWA.
KWAHIYO?Nnamashaka na marinda yako
Unafungisha teamKWAHIYO?
MAGOLI TU.Unafungisha team
Yaani hapa nilikuwa nawaza jinsi watoto wengi wa kiume wa hapa TZ walivyopewa majina ya Jaden, Jayden sababu ya huyo mtoto wa karate kid. Duh, hatari sana.Mwambie RAY kigosi ambadilia mwane jina Haraka JADEN wa will smith kwa mchicha.
Halafu ray nae anamvlisha mwanae hereni[emoji86] [emoji57] [emoji15]
Kuiga iga na ukisasa unawasumbua wazazi waoYaani hapa nilikuwa nawaza jinsi watoto wengi wa kiume wa hapa TZ walivyopewa majina ya Jaden, Jayden sababu ya huyo mtoto wa karate kid. Duh, hatari sana.
binafsi nilikuwa muumini wa hiyo theory kwa jina la "hormone za kike/kiume" ila sasa hivi nimezinduka wengine kuendekeza njaa, kuiga kila jambo, imani potofu, nk.HAIWEZEKANI.
KATI YA WANAUMME HAMSINI KUNA SHOGA MMOJA.
KWAHIYO MASHOGA NI WACHACHE SANA.
NA MTU HAAMKI TU KITANDANI NA KUJIITA SHOGA.
IT HAPPENS FROM VERY EARLY AGES EVEN BEFORE ADOLESCENCE.