Jaden Smith (mtoto wa Will Smith) atangaza kujihusisha na mapenzi ya jinsi moja

umeongea kila kit. ur on point
 
Siitaji kufanya research kuelezea kwamba mbuzi hatagi mayai maana ni ki2 obvious, hivyo swali lako halina mashiko... na siwezi kaa na kuongea na shoga...Sio lazima kila aliezaliwa na matatizo awe shoga kama nilivyosema ushoga mtu anajifunza wengine ni mashoga na hormone zao ziko kawaida.
 
Mijitu imekaa hapa eti inashanga mmarekani kuwa shoga real? Hebu tuacheni ujinga basi, tukishanga mmarekani, muingereza, mfaransa au mjerumani kuwa shoga tutakuwa kama mazoba na tutasambaa kila siku. Haya mambo kwao ni kawaida wameruhusu kama imefikia hatua hadi wanafungisha ndoa makanisani na mabomani tunachoshangaa ni nini?
 
Yani siku nayokuja kujua mtt wangu anabokolewa basi nitamrudisha kwa muumba wake muda huohuo
Dah mzee sasa si utaenda jela halafu ushindwe kufaidi papuchi za kina mwanaidi wa ubungo
 
Nashindwa hata ku-emagine how comes mtu utamani ku-sex na jinsia yako.

Dunia simama wengine tuteremke
 
Unabishana na dude linalosagwa/kufirwa unapoteza muda wako tu boss.
 
Naona unatoa maneno mazito minipo Whatsapp nachati na mtoto mkali kila notificatio naona mara mavi sijui nini[emoji82] [emoji82] [emoji82]
Hahah aisee naona kweli notifications unazipata vzr boss,msalimu mtoto.
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] ....ila mi sitaki asee!

Sitajisika vizuri
 
We jamaa nakukubali kwa Info's

Yule mdada alikuwa kisu kuliko Jada!

Will anapractise sema anaficha kwa kuogopa deals zake za mitonyo zitayeyuka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…