Kungwi Mtoto
JF-Expert Member
- Jun 27, 2018
- 796
- 776
Yes namkumbuka my dearYes....unajua Will Smith aliambiwa kitambo kuwa hawa watoto walee na utoto wao, wapeleke shule wawe wakubwa wachague wakipendacho ukubwani, yy akawaona watu wanamwonea wivu....matokeo yake ndo haya sasa!
Unamkumbuka yule mtoto wa " home alone"?
Naunga mkono hoja...hawa wawili hata uhusiano wao ni ule wanaita #OPEN-RELATIONSHIP kwa mtu wa kawaida lazma ikushangaze,ila kwa wenye UZUNGU UZUNGU wanaona kawaida tu[emoji849]Jada, mme wake na watoto wao wanaishi kwenye ulimwengu tofauti sana na unaouelewa wewe.
Kwa hiyo unavyofikiri ata react inaweza kuwa tofauti sana na atakavyo react.
Siwezi kushangaa akisema anampenda na atam support katika maamuzi yoyote yatakayomfurahisha maishani mwake.
After all, Marekani haya mambo yashakuwa blaze.
Will Smith kacheza na gay crowd tangu "The Fresh Prince of Bel Air".Kama si kabla. Yule Carlton ni gay kitambo tu.
Jada kacheza na lesbians tangu "Set It Off", kama si kabla, na siwezi kushangaa nikiambiwa hata yeye kashasagana sana tu.
Na alibusiwa na mashoga na wakaropoka ni mwenzao red carpet, akajifanya kung'akaHajatangaza
Ila kuna makala niliiona ikimuelezea
Mkuu na we mwanachama nnRAHA SANA.
WASIOPENDA USHOGA WATAJINYONGA LEO.
Hahahaa
Siwezi ruhusu huo utambulishoWw utakaa nyumbani usubiri mtt wako wa kiume aje kukutambulisha kwa boyfriend wake?
Muombe Mungu akuondolee hiko kikombe...Yani siku nayokuja kujua mtt wangu anabokolewa basi nitamrudisha kwa muumba wake muda huohuo
Si ndio hapo...ile siku alivyon'gaka alitaka aonekane msafi kumbe ovyooNa alibusiwa na mashoga na wakaropoka ni mwenzao red carpet, akajifanya kung'aka
Weee matiti anayawekeaga ubao yasionekane kwenye blauziMTU KAMA SALMA JABIR UTASEMA KAHARIBIWA NA WAZUNGU??
YULE NI MSAGAJI CERTIFIED KABISA.
HE IS A MALE IN A FEMALE BODY.
MWILI WAKE UNAONESHA NI MWANAUME KABISA. NO HIPS, NO BUTTOCKS. NI DUME LILE.
Mkuu hapo sidhani Kama Kuna swali. Huyu jamaa atakuwa chakulamkuu vp na wewe ndio walewale?
Kwani si kaandika kiswahili..!? [emoji23]si ungeandika kwa lugha yetu wote tukaelewa mkuu
Hahahaa..Weee matiti anayawekeaga ubao yasionekane kwenye blauzi
Hips anazo na buttok pia ila aina ya suruali anazovaa sio zakike zakubana mvalishe hizo then comeMTU KAMA SALMA JABIR UTASEMA KAHARIBIWA NA WAZUNGU??
YULE NI MSAGAJI CERTIFIED KABISA.
HE IS A MALE IN A FEMALE BODY.
MWILI WAKE UNAONESHA NI MWANAUME KABISA. NO HIPS, NO BUTTOCKS. NI DUME LILE.
Anaitwa Macaulay Culkin kawa teja la uhakika, yy mda wote yuko bwiii!Yes namkumbuka my dear
Jina lako linasomekaje? Limeanza na herufi moja tu inayojitegemea. Ningependa nilitamke kama inavyotakikana. Na nimejaribu kukiondoa hicho ki' emoji kwenye avatar yako imeshindikanaKama Baba ake tu
Yes dear...Will alishasemwaga zamani sana sema ye hataki tu ijulikaneSi ndio hapo...ile siku alivyon'gaka alitaka aonekane msafi kumbe ovyoo
[emoji23][emoji23]Jina lako linasomekaje? Limeanza na herufi moja tu inayojitegemea. Ningependa nilitamke kama inavyotakikana. Na nimejaribu kukiondoa hicho ki' emoji kwenye avatar yako imeshindikana
Msaada tafadhali kama hautojali unaweza ukakiondoa? Walau kwa dakika tu.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] ....wakiona matiti watamtongozaHahahaa..
HAPENDI KUWA MWANAMKE.