Jada, mme wake na watoto wao wanaishi kwenye ulimwengu tofauti sana na unaouelewa wewe.
Kwa hiyo unavyofikiri ata react inaweza kuwa tofauti sana na atakavyo react.
Siwezi kushangaa akisema anampenda na atam support katika maamuzi yoyote yatakayomfurahisha maishani mwake.
After all, Marekani haya mambo yashakuwa blaze.
Will Smith kacheza na gay crowd tangu "The Fresh Prince of Bel Air".Kama si kabla. Yule Carlton ni gay kitambo tu.
Jada kacheza na lesbians tangu "Set It Off", kama si kabla, na siwezi kushangaa nikiambiwa hata yeye kashasagana sana tu.