Jaden Smith (mtoto wa Will Smith) atangaza kujihusisha na mapenzi ya jinsi moja

[emoji23][emoji23]

Hivi wajua nilivyokua nasoma andiko lako nilikua nanywa maji..nimepaliwa muone vile

Linasomeka hivi "INA"

Icho kiemoji hata Mimi nimeshindwa kukitoa
Ni yule "Makaspaki" wa "Anjelo Bunevista" au...!?[emoji23]
 
haka katoto kamesha Amber Rutiwa mweee
 
Yap...kama tuwalivyo mpokonyaga mwanamama Whitney Houston....unamiaka 15 lakini kutokana na ama kipaji ama utajiri ama nafasi bac unalazimishwa uishi kama mwenye miaka 25..![emoji848]
Ndio mkuu....matokeo yake ndo hayo

Yule mmama nilimuonea huruma na hustle zake za kuacha unga na bado zikafeli
 
Amemaanisha kuwa "najilinda kwa mola kutokana na haya/naomba hifadhi ya mola kutokana na haya, yawe mbali nae..pia amemuomba mola ampe hatima/mwisho mwema"
kwanini asiandika hivyo tu au alikua na nia ya kutuficha wengine tusielewe
 
[emoji23][emoji23]

Hivi wajua nilivyokua nasoma andiko lako nilikua nanywa maji..nimepaliwa muone vile

Linasomeka hivi "INA"

Icho kiemoji hata Mimi nimeshindwa kukitoa
Mh! INA, Usitake niambie kama nimekufukuza.
 
Yani siku nayokuja kujua mtt wangu anabokolewa basi nitamrudisha kwa muumba wake muda huohuo
Ashakum si matusi na anenalo mjinga ndilo humtokea,uzuri Mungu anaskiliza tukiongeacho,subiri akupe mtoto wa dizaini hiyo halafu tuone kama utamuua,I HaTE Gaysim though.
 
Hizi huwa kiki tuu pamoja na maagano ya kishetani.
Unakuta dogo sio punga na anatikisa vuzi vizuri kabisa
yeahh huwa inatumika kampeni hiyo na watu maarufu " wanapewa pesa ili waweze kuu promote ushoga " uweze kuonekana kuwa ni kitu cha kawaida katika jamii ya mataifa yanayopinga Homosexual "... kwakuwa wao wanaushawishi katika jamii
 
Baba mtoto hapana.

Miezi minne au mitatu nyuma kuna mwanaume alimkimbilia na kumbusu akampiga. Baadaye ikabidi aombe msamaha kwa jamii ya LGBT kwakua alimpiga mwenzao.

Haki ya nani hawa LGBT wamekuwa na nguvu sana na yakipiga kampeni ya ulaniwe dunia inakutenga, yaani lijitu choko linikimbilietu na kunibusu arafu niliangalie tu, walahi lazima nili konki konki konki masta za uso za kutosha tu. Ni kunibinjia hemashima huko. Kwa nini lisibakane na wenzake huko.
 
aongeze speed atafika 2
 
Kwa hiyo Baba kamtoa kafara mtoto ili apate fame upya??
 
Ndio mkuu....matokeo yake ndo hayo

Yule mmama nilimuonea huruma na hustle zake za kuacha unga na bado zikafeli
Walimlazimisha Ukubwa akakutana na Wakubwa (kama kina bobby) wakamtia Ukubwa akafanya ya Wakubwa mwisho yakamfika Makubwa...ndio hawa wenzetu wenye uzungu uzungu mwingi hata hapa TZ..![emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…