Jaden Smith (mtoto wa Will Smith) atangaza kujihusisha na mapenzi ya jinsi moja

Jaden Smith (mtoto wa Will Smith) atangaza kujihusisha na mapenzi ya jinsi moja

Nakubaliana na wewe....sasa unashaurije mkuu ili hili wingu liweze kupungua au kama sio kuisha?
I DON'T KNOW, HONESTLY.

MTOTO WA KIUME ANAONESHA DALILI ZA USHOGA MAPEMA SANA, KUANZIA MIAKA MITATU. YOU CAN CLEARLY SEE IT.

SASA HUMU WATU WANATOKWA MAPOVU TU HOVYO WANAANZA KUSINGIZIA WAZUNGU NA FREEMASON.
 
Naifuta karate kid kwenye movie nazozikubali zaidi duniani
Nakushauri kama hutaki movie yenye ushirikiano na gays, usiangalie movie yoyote ya Hollywood.

Kwa sababu ni vigumu sana kukuta movie ya Hollywood ambayo haina gays.

Kama si actors, basi producers, kama si producers, basi directors.

Kwa hiyo kama hutaki movies zenye gays, achana na Hollywood kabisa
 
Jamani ngoja niende darasani kwanza nina kipindi saizi, nikiludi nitawaambia.
 
Baba mtoto pia ana viashiria vingi vya hiyo tabia Kwahiyo ni kama like faza
Will Smith ni homophobic alishawahi kuwadis magay hata mwaka juzi alishawahi kumpiga mwandishi wa habari shoga hii kitu ilipelekea mauzo ya filamu na biashara zao kushuka, negative response kutoka kwa watu na jamii ya LGBT ambayo imeshikilia kwa kiasi kikubwa industry ya burudani duniani ndo maana toka mwaka juzi hawajapata tuzo yoyote kubwa hata ya Oscar pamoja na kutoa filamu Kali

Kwa hiyo hii ni kama movement ya kuclear hivi makosa ya faza kwa sababu naona huyu dogo alianza haya mambo baada ya mkasa wa mshua wake
 
Nakushauri kama hutaki movie yenye ushirikiano na gays, usiangalie movie yoyote ya Hollywood.

Kwa sababu ni vigumu sana kukuta movie ya Hollywood ambayo haina gays.

Kama si actors, basi producers, kama si producers, basi directors.

Kwa hiyo kama hutaki movies zenye gays, achana na Hollywood kabisa
[emoji15] [emoji15] silijui hili
 
Back
Top Bottom