Jaden Smith (mtoto wa Will Smith) atangaza kujihusisha na mapenzi ya jinsi moja

Jaden Smith (mtoto wa Will Smith) atangaza kujihusisha na mapenzi ya jinsi moja

Baba mtoto hapana.

Miezi minne au mitatu nyuma kuna mwanaume alimkimbilia na kumbusu akampiga. Baadaye ikabidi aombe msamaha kwa jamii ya LGBT kwakua alimpiga mwenzao.
Si miezi ni miaka kipindi obama anaomba kura!
 
[emoji23][emoji23]

Hivi wajua nilivyokua nasoma andiko lako nilikua nanywa maji..nimepaliwa muone vile

Linasomeka hivi "INA"

Icho kiemoji hata Mimi nimeshindwa kukitoa
INA, unajua kubaniana watu huwa wanafanya kwenye ugali na pesa. Tafadhali usinifanyie hivyo, hata hicho ki' emoji?

Utundu wangu umefikia mwisho na wewe ndiye technician mwenye ujuzi wa kukiondoa hicho ki' emoji, ndiyo maana nimekuomba msaada.

Nakisubiri kiondoke.
 
Will Smith mwenyewe hajawahi kuwa shoga msimchafue,huyo mwanao ndio boya
 
Anaitwa Macaulay Culkin kawa teja la uhakika, yy mda wote yuko bwiii!

Yote hii sababu ya kupokonywa utoto wake!

Haya mambo ya kuruka stage mabaya sana
Yap...kama tuwalivyo mpokonyaga mwanamama Whitney Houston....unamiaka 15 lakini kutokana na ama kipaji ama utajiri ama nafasi bac unalazimishwa uishi kama mwenye miaka 25..![emoji848]
 
Dah! Nimepata hasira kama vile ni mwanangu. Maana dogo nilitokea kukubali sana kazi zake
 
Back
Top Bottom