Beeb
JF-Expert Member
- Aug 18, 2018
- 29,394
- 59,069
Mkeo ana mtihani sanaYes dear...Will alishasemwaga zamani sana sema ye hataki tu ijulikane
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkeo ana mtihani sanaYes dear...Will alishasemwaga zamani sana sema ye hataki tu ijulikane
Hana mtihani wowote...hujasikia kiranga anakwambia na Jada ni lesbMkeo ana mtihani sana
Yule Gay mwingine huyu hapa!THEN YOU CAN SEE IT IS NATURAL TO BE GAY.
Familia ina laana hiiHana mtihani wowote...hujasikia kiranga anakwambia na Jada ni lesb
Kama ya akina Kim KFamilia ina laana hii
Mueleweshe huyo mkurupukaji mkuu.Baba mtoto hapana.
Miezi minne au mitatu nyuma kuna mwanaume alimkimbilia na kumbusu akampiga. Baadaye ikabidi aombe msamaha kwa jamii ya LGBT kwakua alimpiga mwenzao.
Ungetumia na zile hurfu zetu zile sasa ingependeza zaidi... امين [emoji56]Wanaudhu billahi min dhaalika . Rabbi jaalna husnu lkhatima
???Naifuta karate kid kwenye movie nazozikubali zaidi duniani
Kwa kumpa mtoto shoga..?[emoji848]Nyie ndio Mungu hua anawaonyesha
Si miezi ni miaka kipindi obama anaomba kura!Baba mtoto hapana.
Miezi minne au mitatu nyuma kuna mwanaume alimkimbilia na kumbusu akampiga. Baadaye ikabidi aombe msamaha kwa jamii ya LGBT kwakua alimpiga mwenzao.
Mungu anaweza kukupa mtoto shoga..!?[emoji848]Wakati mwingine tumuombe mungu asitupe watoto wa namna hii,hii ni laana kubwa kwenye familia.
Akikanusha ni tag mkuuYule Gay mwingine huyu hapa!
INA, unajua kubaniana watu huwa wanafanya kwenye ugali na pesa. Tafadhali usinifanyie hivyo, hata hicho ki' emoji?[emoji23][emoji23]
Hivi wajua nilivyokua nasoma andiko lako nilikua nanywa maji..nimepaliwa muone vile
Linasomeka hivi "INA"
Icho kiemoji hata Mimi nimeshindwa kukitoa
alie wapi wakati Jada nae ni msagaji, cheki movie za Matrix 2 na 3 uone mienendo yakeJada atalia na kusaga meno
Yap...kama tuwalivyo mpokonyaga mwanamama Whitney Houston....unamiaka 15 lakini kutokana na ama kipaji ama utajiri ama nafasi bac unalazimishwa uishi kama mwenye miaka 25..![emoji848]Anaitwa Macaulay Culkin kawa teja la uhakika, yy mda wote yuko bwiii!
Yote hii sababu ya kupokonywa utoto wake!
Haya mambo ya kuruka stage mabaya sana
we umeelewa mkuu ? nisaidie kunieleweshaKwani si kaandika kiswahili..!? [emoji23]
Anatmbeka vizuri tu na ana shepu ya kike kujiendekeza tu kuleMTU KAMA SALMA JABIR UTASEMA KAHARIBIWA NA WAZUNGU??
YULE NI MSAGAJI CERTIFIED KABISA.
HE IS A MALE IN A FEMALE BODY.
MWILI WAKE UNAONESHA NI MWANAUME KABISA. NO HIPS, NO BUTTOCKS. NI DUME LILE.