Jaden Smith (mtoto wa Will Smith) atangaza kujihusisha na mapenzi ya jinsi moja

Najua ila sio kwa situation ya hichi kitoto.

Yaani jaden Smith akiwa shoga watoto wote wenye majina ya jaden au jayden watakua mashoga?

Ninachokijua mtoto akirithi jina la kwenye ukoo wako au wa baba ndiyo inaweza kuwa shida ikiwa hamtovunja laana kwa maombi!!

James delicious, hamis ‘b12’ harris ni mashoga hawa so wenye majina kama haya wana tatizo?
Most of them....
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] watu mitihani katika maisha hayeshi ukiangalia tatizo nin kumbe majina.

Kuna watoto walibadili majina baada ya kuitwa majina mabaya na wazee wao.
Eeeh....mtoto anaona jina linamchoresha kinoma
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] watu mitihani katika maisha hayeshi ukiangalia tatizo nin kumbe majina.

Kuna watoto walibadili majina baada ya kuitwa majina mabaya na wazee wao.

Ha ha ha ha ha shida, sikitu, siyawezi lol

Kuliko hayo bora niwape ya Kilugha yenye maana nzuri
 
Bora hvyo mana sipati picha ungeitwa peapeana hhhhhh[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] .

Leo tungekua na story nyengine.
 
Umenichoka si kwa jina ilo[emoji2][emoji2][emoji2]

Nina jina unique huwa nikikutana na mtu mwenye jina langu lazima nishangae na yeye ashangae
 
Hhhhhh yani ndo mfano wa majina yanayosibu.

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] na majina yapo ujue unaweza ukasema una jina pekeako kumbe ypo kibao.
 
Ndiyo, nilivyojiunga FB cha kwanza nilisearch jina langu nilivyoona nikawa request... pale ndiyo nikafarijika nikasema kumbe tupo tupo
 
Back
Top Bottom