jadili hii!!!!!!!

jadili hii!!!!!!!

Mtata Mbosa

Member
Joined
Jun 28, 2011
Posts
14
Reaction score
0
tofauti ya maneno haya

1 ""sikia"" na ""sikiliza""
2 ""aibu"" na ""haya""
3 "shabaha" na "lenga"
4. "legelege, goigoi na mzembe"

ahh wee nawe
jadili mwenyew umeme akuna uku afu waleta homework..ahh mi sfanyi..NAMTAFAKAR KAKA NGELEJA
 
sikia- nafsi ya pili umoja anaambiwa, mfano Juma ana mwambia Hadija, sikia akitaka kumwambia jambo, hapa anayesikilizwa ni Juma
sikiliza- nafsi ya pili umoja pia anaambiwa, mfano Juma anamwambia Hadija asikilize, mfano sauti fulani, nje ya hawa wawili, Juma na Hadija
aibu na haya mi naona yanabeba maana sawa, labda wataalam wa lugha zaidi wachambue
shabaha ni neno ambalo tenzi lake ni kulenga. Hivyo shabaha(noun) ni neno na lenga ni tenzi(verb)
legelege na goigoi vina maana ya dhaifu, au kwa ki UK (weak). Ni udhaifu wa hali ya mtu jinsi alivyo sio wa kujiendekeza
mzembe ni mvivu, maana yake udhaifu wa makusudi, ulioendekezwa.

Ni maoni yangu, sawa mkuu Mta Mbosa?
 
Ni maoni yangu, sawa Mkuu[/QUOTE
Umejitahidi sana kuelezea kiukweli uko vizuri kwenye haka kalugha ketu, lakini kwenye legelege nimgefurahi kama ungetoa mfano unaoanzia na jina la jamaa mmoja anaitwa Jakaya Mrisho Kikwete wenyewe wanamuita JKN
 
Nitakuja na majibu kamili,
ngoja nitafute notes za mama Fuwe na mwl Mgassa.
 
kusikia kuna husisha kila sauti inayo ingia sikioni. sikiliza ni kuwa makini ili uingize sauti sikioni (na akilini). kwa kingereza ni hear la listen
Aibu na haya is the same
Shabaha ni uwezo wa kulenga (accuracy na marksmanship)
Legelege, goigoi na mzembe vinahusia viwango tofauti vya upungufu wa akili (mfano stupid, idiot na imbecile )
I hope this heps
 
Back
Top Bottom