sikia- nafsi ya pili umoja anaambiwa, mfano Juma ana mwambia Hadija, sikia akitaka kumwambia jambo, hapa anayesikilizwa ni Juma
sikiliza- nafsi ya pili umoja pia anaambiwa, mfano Juma anamwambia Hadija asikilize, mfano sauti fulani, nje ya hawa wawili, Juma na Hadija
aibu na haya mi naona yanabeba maana sawa, labda wataalam wa lugha zaidi wachambue
shabaha ni neno ambalo tenzi lake ni kulenga. Hivyo shabaha(noun) ni neno na lenga ni tenzi(verb)
legelege na goigoi vina maana ya dhaifu, au kwa ki UK (weak). Ni udhaifu wa hali ya mtu jinsi alivyo sio wa kujiendekeza
mzembe ni mvivu, maana yake udhaifu wa makusudi, ulioendekezwa.
Ni maoni yangu, sawa Mkuu[/QUOTE
Umejitahidi sana kuelezea kiukweli uko vizuri kwenye haka kalugha ketu, lakini kwenye legelege nimgefurahi kama ungetoa mfano unaoanzia na jina la jamaa mmoja anaitwa Jakaya Mrisho Kikwete wenyewe wanamuita JKN