Jafe na Kunze umaarufu wao unatokana na nini?

Jafe na Kunze umaarufu wao unatokana na nini?

Hii nchinya kipuuzi sana.kuwa maarufu ni fasta sana...fanya ujinga tu.
Hebu imagine yule mzee wa 900 itapendeza alikuwa kichaa ila akafamya tukio akawa maarufu.

Mzee wa liquid hivyohivyo.

Hii inachangiwa na waandishi uchwara wengi...hawatumii taaluma.
 
Waandishi wetu wa habari nao ni viazi kabisa, haya mambo ya hovyo ndo uwape watafanya kwa ueledi, lakini mambo sensitive ya nchi hutawaona wanaya fatilia zaidi ya kuripoti kile ccm inachotaka wakiripoti wao.

hopeless kabisa.
 
Nchi ina vituko vingi saana..

"Oya jafee, si tunamaliza mzee, eeh.. " hakuwa na lengo la kuchekesha, akabahatisha ikawa kichekesho, sasa wanataka awe mchekeshaji rasmi, nimeona video zao mbili zote mboovu.
Nasimama na wewe katika hili chief, “hakuwa na lengo la kuchekesha, akabahatisha ikawa kichekesho……………”
 
Yaani nilishangaa kuona Milad ayo kutoka darsalam na wasafi kuja geita kufanya mahojiano na hawa watu na sjaona la maana
 
Back
Top Bottom