Jaffarai na Shy-Rose na Kuheshimiana baada ya kuachana

Mh Mbilinyi anaweza kumshtaki Jaffarai kwa kumdhalilisha maana yeye (Jaffarai) na Shy-Rose hawajaowana mpaka kwenda kumlalamikia kwenye media! namna ile! Pia Clouds inaweza kushitakiwa vilevile kwa kutumia vyombo vyake kusambaza kashfa dhidi ya Sugu!
 
Watu wana take risk na sidhani kama akishtakiwa anaweza kulipa. Kitendo cha kwenda press na disclose personal relationship ya mtu kwa ushahidi wa rumous ni hatari. Aombe mungu Mr II amsamehe tu kwa kumtungia Antivirus part 2
 
Mh Mbilinyi anaweza kumshtaki Jaffarai kwa kumdhalilisha maana yeye (Jaffarai) na Shy-Rose hawajaowana mpaka kwenda kumlalamikia kwenye media! namna ile! Pia Clouds inaweza kushitakiwa vilevile kwa kutumia vyombo vyake kusambaza kashfa dhidi ya Sugu!

Sidhani kama ana guts...labda atoe ANTIVIRUS RMX!
 
juzi nilimsikia akilialia kwenye radio oo sijui sugu anakamua shyrose oo kaninyang"anya demu.
simwelewi huyu kijana.
 
Mawakili Tanzania mnafanya nini? Sio mpaka mteja akuletee kesi ndio uanze kushughulikia, lawyer yeyote makini angemtafuta Sugu na kuomba kufungua kesi zidi ya CLOUDS FM kwa kuruhusu vyombo vyake vya habari kumchafua Mheshimiwa! Kitu ambacho kimepelekea Sugu kusafa emotional distress na mbaya zaidi kimeharibu kabisa reputation yake kama public figure. Lawyer yeyote makini mate yangekuwa yanamtoka sasa hivi, asiangaike na Jafrai kwani hana hela yeye adili na CLOUDS ....Yaani hela ziko nje nje watu wanazungumza utoto hapa.
 
Usugu wao kwa kujifanya wachumba sugu kwa miaka 8 ndo maana sugu ameenda kusugua hukohuko.
 
ofcourse kama unabeef na sugu sehemu ya kwenda kulilia ni clouds fm...hakuna mpya hapo

tatizo ni kama jamaa angekuwa kidume cha kweli, na yeye angetafuta wake amege....sio unalialia kama demu

yani clouds na kibonde wao bado hawaamini kama sugu kawapiga bao
 
naunga mkono SHY kumtema J kwa kuwa mwanaume kila wakati anatakiwa kulead, miaka minane kwa nini hakuweza kufibricate (chakachua flani) mpaka kumshawishi SHY kuwa anamfaa kuwa mme? alijiachia akajisifia kutunzwa sasa leo analalamika nini?hapa mjini ukibebwa jishikilie sio unaanza kitia meno mgongo.
 
Leo Jaffaray yuko live kipindi cha XXL kinachorushwa na Clouds fm akisema kaachana na Shyrose Banji ni kutokana na kugundua kuwa amecheat na ana Uhusiano na Hon. JOSEPH MBILINYI.

Hilo tu. Yeye hajawahi kucheat au kwa vile amefahamu ndo anaumia
 
Hahaha! naomba niwe rafiki yako wa kawaida,nimecheka hadi basi 'ukibebwa jishikie sio kuuma mgongo ulokubeba'
 
uchumba miaka 8 ! we siyo , mlikuwa mnachezeana wacha na wengine wakachezee!!!
 

Mkuu hata mimi nimeshangaa ilikuwaje huyu mama awe na low profile yanki wakati network yake ni heavy sana!!! Unajua wakiwa public si rahisi mtu kama SHY amu-expose huyo Jaffar. Yaani Jaffar alitakiwa asome alama za nyakati!!! Ila ninavyofahamu ndo mambo ya viserengeti boys kupenda vya mteremko!!! I can imagine limama kuwa front na kijana umri wa last born wao waliyepishana for more than ten years!!! Da kwa Waafrica hatujazoea. Cha msingi kama relationship zime fail hakuna haja ya publiciry. This is an owkward move.
 
kwenye facebook page ya jaffarai inasema:
NIMEAMUA
KUACHANA NA ALIEKUA MPENZI
WANGU KWA TAKRIBAN MIAKA
8 SHYROSE BHANJI..


Hivi Bunge linaanza kesho? Ni mambo gani ya kitaifa yatajadiliwa naomba msaada hapa...
 
Mie naona contradiction, kwanza kumegewa pili kukimbilia katika media:

Hizi ni case za kawaida kabisa, lakini haimaanishi ndio sawa.

Yaani mtu kamegewa mke wake na sio demu wake, manake ingekuwa wengine polisi mtaenda nyie. Sema dogo nae anaonekana mtoto wa mama na kukimbilia katika media vinginevyo uswazi kwetu tunalimaliza kiana bila ya kujali mbunge wala nini.

Nadhani dogo halmashauri yake ya kichwa inaonekana haiko vizuri sana, Kashindwa kutuliza goma anaanza kulia lia mtaani miaka 8? anawatoto wangapi? Manake dada wa watu anaona magharibi hakuna mtoto kwanini asitafute mafundi wanaojua kupiga misele kibaya zaidi watu wa kusini ni noma katika nyanja hizo mafundi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…