Mie naona contradiction, kwanza kumegewa pili kukimbilia katika media:
Hizi ni case za kawaida kabisa, lakini haimaanishi ndio sawa.
Yaani mtu kamegewa mke wake na sio demu wake, manake ingekuwa wengine polisi mtaenda nyie. Sema dogo nae anaonekana mtoto wa mama na kukimbilia katika media vinginevyo uswazi kwetu tunalimaliza kiana bila ya kujali mbunge wala nini.
Nadhani dogo halmashauri yake ya kichwa inaonekana haiko vizuri sana, Kashindwa kutuliza goma anaanza kulia lia mtaani miaka 8? anawatoto wangapi? Manake dada wa watu anaona magharibi hakuna mtoto kwanini asitafute mafundi wanaojua kupiga misele kibaya zaidi watu wa kusini ni noma katika nyanja hizo mafundi.