Pdidy
JF-Expert Member
- Nov 22, 2007
- 57,951
- 32,619
mnakosea jamani Shyrose ndo kaachana na Jaffarai. Jaffarai hawezi kuachana na Shyrose hata siku moja.
Bangi+bangi/POMBE =???
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mnakosea jamani Shyrose ndo kaachana na Jaffarai. Jaffarai hawezi kuachana na Shyrose hata siku moja.
Husband always insisted on making love in the dark. After 20 years the wife turns on the light to catch her husband holding a vibrator. She goes ballistic "You impotent b*stard! How could u lie to me all these years?" He looks her straight in the eyes and calmly says " I will explain the toy, if you explain the kids..."
nadhani ni panic ya jinsi ya kuyakabili maisha bila shyrose....muoneeni huruma tu....
Faida ya elimu si kupata fedha tu. Inakusaidia hasa namna na ku deal na matatizo hasa katika maisha yetu ya sasa. Tofauti ya aliyesoma na asiyesoma utaiona kwenye namna wanavyo fanya maamuzi ya nini wafanye mara wanapopata matatizo. Ni vizuri kama anayejua uelewa wake au uwezo wake kimaamuzi ni mdogo Naombe ushauri kwa watu afanye nini.
kwa kweli ndugu yetu amechanganyikiwa, nimeenda kusoma aliyoyaandika kwenye wall yake, kule kwenye face book sikuweza kuamini
unajua mambo kama haya yanatokea sana, na wala yeye si wa kwanza kumtokea iwe kweli au kuzushiwa
kosa alilolifanya ni kuapayukwa na kumwaga mtama hazarani, njia alizotumia kukabiliana na tatizo ni za kijinga na zinamshusha mbele ya wenye hekima 100%
Alikuwa mke kumbe?!Wapendwa mliokuwa mkisiiliza redio clouds fm mchana akika nilikuwa nakaribia kutoa machozi.....Mume wa shyrose banji ...jafeer akaulizwa na mtangazaji ulimuliza mkeo alitumia zana akadai akutaaka hata kumjibu
Nalo neno.... kwani kuna mtu asiyekuwa na maisha yake?Who cares who is who ni maisha yao wakitaka kulisakata rumba kimpango wao msituchoshe na habari hizi za kufikirika.
who is shyrose mpaka apoteze muda wetu kumjadili? she is NOTHING na afadhali ameachwa na jafarai. haka kadada kanajishaua sana na kila siku kanapenda kuonekana kwenye vyombo vya habari hata kwa non-issues. hongera jafarai, its time you mind other business!
ni tom and jerry wa vijana wa leoBTW, who is Jaffarai and who is Shyrose?...naomba kujuzwa!
husilisemee mbaya jani takatifu.....mbona twavuta lakini akili zetu ziko sawa...Bangi+bangi/POMBE =???
kinachosikika kitaani jamaa nasikia wanamtoboa mfuko wa mbolea......
Bora facebook ifungwe kama mambo yakijinga yanatangaziwa humo.
Are we on the same page?
Mwisho wa siku tufahamu mapenzi ndivyo yalivyo - kuna kupendana na kuachana.Walipopendana watajua wenyewe terms of engagement zilikuwa vp. Kuachana siyo dhambi bali ni transition kuelekea maisha mengine.Huenda Shy na Jafferai hawakuandikiwa kuwa pamoja ab initio! N andio maana hata mipango yao ya kufunga ndoa ilikuwa inakwama mara kwa mara....Toka watambulishwe Bungeni na Muheshimiwa Sitta aliyewahi kuwa Spika Bunge lililopita hadi leo ni miaka imepita na ndoa haikuwezekana. Nadhani ni wakati muafaka Jafferai akubali Shy hakuandikiwa awe mkewe na aendelee kusaka mchumba wa kiwango chake. Akimpata wasiwekane kinyumba bali wafunge ndoa itakayowapa uhalali wa kutumia vikao halali vya familia kutatua migogoro. Sasa hivi inaelekea kama vile Face Book and Radio na hata TV ndio " familia" au baraza la usuluhishi analoliona Jaffarai... ukweli ni kuwa anajiweka pabaya maana wanawake wanaosikiliza watakuwa makini sana kuwa na uhusiano na mtu asiyekuwa na staha kama huyu! Huwezi wewe ukaenda kuanika mambo na siri za ndani hadharani maana inadhihirisha tatizo katika malezi.A REAL MAN CAN HANDLE SH****T BETTER THAN THIS!