Jaffarai na Shy-Rose na Kuheshimiana baada ya kuachana

Jaffarai na Shy-Rose na Kuheshimiana baada ya kuachana

jamaa alikuwa clouds fm ,leo ktk kipindi cha xxl akajishebedua kusema kuwa (SUGU mbunge wa mbeya ananilambia demu wangu)very weak move for him,publicit nyengine bwana ,jamaa kachemka kwenda ktk media ,nadhani ni mpango wa kumwalibia mr 2.,tusubili tuone

Clouds fm awakuwahi kumjenga SUGU siku zote wao ni kumuaribia ndio maana huyo dogo kakimbilia redio hiyo. Haya mambo yana taka uthibitisho na si kupayuka na kuchafuliana majina. Lakini SUGU sasa ni muheshimiwa hivyo ategemee madongo mengi zaidi ya hayo kutoka kwa wabaya na wapinzani wake. Cha muhimu awe makini na mambo yake na SHYROSE ajifunze kuchakachua vijiserengeti boy, Kakionjesha kikang'ang'ana kutaka kuchonga mzinga, kakitosa kimeanza kupiga yowe.

WEEEE JAFFARAI MIAKA NANE BILA NDOA WALA MTOTO, yaani ulikuwa ujastuka tu kuwa UNABEMENDWA
 
who is shyrose mpaka apoteze muda wetu kumjadili? she is NOTHING na afadhali ameachwa na jafarai. haka kadada kanajishaua sana na kila siku kanapenda kuonekana kwenye vyombo vya habari hata kwa non-issues. hongera jafarai, its time you mind other business!
 
Ni kweli kaachana na mama sijui bibi Shyrose kwa sababu SUGU mbunge aliyetumwa na wananchi wa mbeya katembea na Shyrose!!!!!!!!!!What a shame??!!!!!!
Jafarai nadhani hafahamu kazi ya Shy huko Nmb ndio maana anachachawa na kuhunyahunya! Mr 2 kama Mbunge anaweza kuwa anataka Shy kama PRO afanye jambo la kimaendeleo jimboni kwake kupitia Nmb! Ni uelewa pungufu tu na kuchafuana. Time wil tel
 
Kwanza kamuona aseme atammega peke yake??Angemuowa then hapo ingekuwa kesi nyingine.......Bado mtu mzima ana mambo ya kishamba.....sasa kutangaza kwenye news ndio atapata faida au??
 
Huyu bado bwana mdogo hajui kitu kabisa ndio maana anafanya hivyo.......
 
Kwa wale walockiliza XXL ya leo, ninauhakika mlimsikiliza msanii Jaffarai akilia kwamba kaporwa mke na Mr. Sugu ambaye ndiye mbunge wa Mbeya mjini. Huyo huyo msanii kaenda facebook yake na kuweka haya maneno

Jaffarai Jaffarhymes
nimeachana na shyrose bhanji (kicheche mzee) baada ya kugundua km anatoka kimapenzi na mr 2... ni aibu sana kwa mwanamke mwenye miaka 42 kua kicheche kiac hicho!!!! nilitegemea mtu km mr 2 angeanza kufanya harakati ktk mziki wetu lkn harakati zake zimehamia kwenya mapenzi na madem wa wasanii wenzake... ni aibu kubwa sana
Nadhani cha cha Mafisadi ikishirikiana na Ruge Mutahaba wanajaribu kumchafua SUGU na Chadema kumtumia huyu Jaffarai. noma sana mwanamme mzima kulia kama mtoto kisa kanyang'ang'ywa mke.
 
Kwa wale walockiliza XXL ya leo, ninauhakika mlimsikiliza msanii Jaffarai akilia kwamba kaporwa mke na Mr. Sugu ambaye ndiye mbunge wa Mbeya mjini. Huyo huyo msanii kaenda facebook yake na kuweka haya maneno

Jaffarai Jaffarhymes
nimeachana na shyrose bhanji (kicheche mzee) baada ya kugundua km anatoka kimapenzi na mr 2... ni aibu sana kwa mwanamke mwenye miaka 42 kua kicheche kiac hicho!!!! nilitegemea mtu km mr 2 angeanza kufanya harakati ktk mziki wetu lkn harakati zake zimehamia kwenya mapenzi na madem wa wasanii wenzake... ni aibu kubwa sana
Nadhani cha cha Mafisadi ikishirikiana na Ruge Mutahaba wanajaribu kumchafua SUGU na Chadema kumtumia huyu Jaffarai. noma sana mwanamme mzima kulia kama mtoto kisa kanyang'ang'ywa mke. Kusoma Zaidi, Bonyeza HAPA

This is somebulshit. Huyu mwanamme mzima akihachana na mwanamke kwani ni lazima aende redioni? huyu katumwa na CCM au ruge wa Clouds TV. Kwanza hawakuwa na ndoa, sasa tatizo ni nini? Jaffarai you need to grow up kusema kweli usikubali kutumiwa na Ruge mutahaba kumchafua Sugu. au ndio wanataka kusema kwamba Chadema ni kupora wake za watu? Tutaona..... Ndo hivyo hao CCm wanamfukuza huyo dada kwanda CAHDEMA !
 
ukila nyama ya mtu hutaacha.....CHADEMA ACHENI KUPORA WAKE ZA WATU......japo hupenda kujitetea lakini alianza ZITTOO KWA AMNA CHIFFUPA...AKAJA SLAA KWA MKE WA MFANYAKAZI WA BANDARI ,SASA MBUNGE SUGU....
na dhambi hii itaendelea tuu
Mwenzako akinyolewa ..wewe tia maji
 
Kashamegwa kwa vile kicheche ffull stop na wewe dogo JEF tafuta size yako man kwa nini unakaa na vizee??Ebooo
 
lakini dini yao yawaruhusu.....ndoa wanaita CHUO....kwa hiyo first degree,masters,phD...etc
 
Jaffarai na shy walifunga ndoa? Manake kumchukulia mtu demu wake ni vitu viwili tofauti na kumchukulia mtu mke wake.


NIkipata jibu kama walikuwa kwenye ndoa na Sugu ndio kamchukua au shy ndio kamfuata Sugu nitaweza kuchangia lakini kama ni issue ya kuchukuliana demu tu ni upuuzi kuwa habari.
 
Some crazy clash of gargantuan egos of these so-called Bongo Flava rappers and their dwarf-sized di.cks, vis-a vis some half-caste, high-end, middle-aged politico pucci...
 
Field yetu ya ualimu ni imetukuka.....kama mtu anafanya madudu na anawakilisha jamii.....mara moja hatua huchukuliwa....NMB & CHADEMA & CCM & BONGOFLEVA.....wawakilishi wenu hawa wanawadharaulisha(MTASEMA HAYAINGILII UTENDAJI WAO) u
 
Dogo kaenda tena huko East African TV ( channel5), kabwabwaja tena machungu yake ya kuachwa . Wote ni wale wale tuu, dogo aliona raha ya pesa na Jimama aliona raha ya sex na ku mcontrol jamaa, Shayroz naye kaumizwa sana na huyu dogo maana naye kicheche vile vile kakanyaga sana mademu.

Sasa tusubiri hizo sex tapes na nude pix za kulipizana visasi .
 
Duh! Kisa ni usimikaji mzizi daah! Walopata hongera zao na kwa wale washindwa tunawapa pole, na tunawasihi kutokata tamaa kwani japo mkeka ushakuwa kuukuu lakini haizuii kuendeleza soga.
Haya yote ni mafunzo ya kimaisha na kila mmoja wetu ni lazima atathmini kwa kina na sio kulaumu au kuchukulia kirahisi rahisi.
Mapenzi yanauma ukitendwa na hasa kwa yule ulomwamini.
 
ShY Rose Bhanji Yupo Mbioni kwenda Chadema na Hizo ni mbinu chafu za kisiasa wanzotumia cCM na Clouds FM Kumzalilisha BAnji na Mh Sugu
 
Sugu motochini lol..itumie ipasavo hiyo nanihii..erectile dysfunctional haipo mbali.
 
Hivi Shyrose ni Mwanamke wa kumjadili hivi?maana kuna treads zaid ya 3 juu ya huu Mlupo apa JF!.kwa wanaemjua huyu mdada watakubaliana nami kuwa afai ata kuwa GF wa kingwendu.
Namimi nnamshangaa Jafarai kuishi for all this 8 yrs na hu mcharuko.Shyrose ni Jamvi la wageni

Shyrose ana kila kitu kinachohitajika kwa mwanamke mwenye maisha bora.

Tatizo wanaume anaokutana nao wanawaza kupiga pamba, kula chipsi kuku kwenye mahoteli na ma-pub, na hata kusafiri.

Kumbe yeye (Shyrose anataka kitu tofauti kabisaaaaaaaaaaaa). Anataka mwanaume anayejua "KUSUKUMIZIA DAWA".

Kama hamuwezi kumsukumizia dawa, basi msilalamike kwenye maredio. Nyie endeleeni kuuza sura kwenye migahawa, wakati wanaume wa shoka wanafanya kazi inayostahili kwa mwanamke rijali.

piga dozi asubuhi, mchana, jioni, usiku,alfajiri, asubuhi, bafuni, sebuleni, chumbani, kwenye kochi, mezani, sakafuni, jikoni, kitandani, kwenye gari. Sukuma dawa. Utaona kama atakukimbia. Lazima atulie. That is what real men do. That's what real women want.

Kulalama kwenye TV ni kujidhalilisha.
 
Kuna mambo ya facebook mnayaleta huku jamani!! Mnakosea sana!!:sick:
 
Back
Top Bottom