Mamushka
JF-Expert Member
- Feb 17, 2010
- 1,595
- 100
Hizo ni hasira za kijinga, kicheche mzee manake nini?? Alivyomchukua hakuona huo uzee wake leo ndo anauona.. Sio ustaarabu hata kidogo kutoa kashfa kwa mtu aliyekuwa mpenzi wako just because mmeachana.. Hawezi kujua kuna leo na kesho.. Halafu sio kazi yake kuanika umri wa mwenzie hadharani.. Loh ameniudhi sana huyu Jaffarai!! Huu ni utoto!! Na kama alikuwa mwanaume kama binti imekula kwake.
Inaelekea kijana kaachwa na ndo maana anabwabwaja!!
Ndo shida ya kudili na viserengeti, mkubwa sikuzote ni mkubwa tu, inaonekana jamaa alikalia mibangi yake tu hakuna alichopata. Sasa kaachwa ghafla ukute katimliwa na malboro yake sasa anahanya umaskini huoo, nifundisho kwa wavivu kama yeye badala yakutafuta kwa jasho lao wanataka wale tu. Ngonja mzee akaenjoy na wazee wenzie wenye akili zao.