kwa kweli ndugu yetu amechanganyikiwa, nimeenda kusoma aliyoyaandika kwenye wall yake, kule kwenye face book sikuweza kuamini
unajua mambo kama haya yanatokea sana, na wala yeye si wa kwanza kumtokea iwe kweli au kuzushiwa
kosa alilolifanya ni kuapayukwa na kumwaga mtama hazarani, njia alizotumia kukabiliana na tatizo ni za kijinga na zinamshusha mbele ya wenye hekima 100%
kama kuna watu wanamawasiliano naye, ingependeza wakamtafuta na kumshauri kuwa alichofanya kwanza ni kosa na amejishusha, pili kumshauri ni nn cha kufanya
kwa hili kajishusha yy na washkaji zake, kama ndivyo walivyimshauri
kwa upande wa sugu acha ujinga kama umefanya hivyo, ww ni mtu mwengine, watu wangependa kuona mazuri yako na kuwa mfano, watu wengi wanaamini nyny wanamuziki ni wahuni, sasa fursa hio uliopata ungekuwa unaitumia vyema ili jamii iondokane na walichokuwa wakikiamini
au ndio umejifunza kwa hao wahuni akina Slaa na Mbowe kufanya ushenzi kwa wake za watu na wanawake za watu ?