Jaffarai na Shy-Rose na Kuheshimiana baada ya kuachana

Jaffarai na Shy-Rose na Kuheshimiana baada ya kuachana

Sofia Simba aliwahi kuwaambia wanawake wa CCM wawanyime uroda kama hawai-support CCM.Labda mambo yameenda vice-versa. Shy-Rose alipoanza kumkoromea Msekwa inaonekana alianza kuona mambo yaliyomo CCM, na huenda sasa anatafuta mentor wa kumuondoa huko CCM. Joseph Mbilinyi hajaoa, huenda ana mikakati yake ya kuwa na mwenza....who knows. Mbona chakulaz ya JK ziko kibao tu mpaka kwenye balozi zetu overseas!!
 
Yani hapa Jafarai ndo mwenye kosa tu?Ana haki ya kusema kilichowatenganisha kwasababu washabiki wake wametaka kujua...ila kumuita majina ya kumdhalilisha hajafanya vizuri!And tho i have always been a fan of mr. 2...kama ni kweli kashusha sana heshima yake!Na wanaosema aogopwe hata jimboni watakua hawajakosea...kwasababu kama kaanza leo hamna guarantee ataacha kesho!Na huyo bidada nae..angemwacha mtoto wa watu kama aliona kadata kwa mbunge!
 
jamani inauma kugundua unadanganywa, ila na yeye kawa kama mbwa koko sasa kila sehemu anabwekea hili hilo....
 
Kwanza popote ntakapomuona ntamnunulia kitana maana zile nywele zinaonyesha wazi ni mtu anayesumbuliwa na kuachika, lol.
 
CLOUDS na MR II wapi na wapi, hata kama anatembea naye kwani mbona wengi wameolewa/kuoa watu ambao hawakujifunza utu uzima nao.

Hii kitu poa tu wanatafuta kumpunguzia umaarufu wake Mr II, kama walivyokuwa wanashupalia suala la Dr Slaa na Josephine
 
kwa kweli ndugu yetu amechanganyikiwa, nimeenda kusoma aliyoyaandika kwenye wall yake, kule kwenye face book sikuweza kuamini

unajua mambo kama haya yanatokea sana, na wala yeye si wa kwanza kumtokea iwe kweli au kuzushiwa


kosa alilolifanya ni kuapayukwa na kumwaga mtama hazarani, njia alizotumia kukabiliana na tatizo ni za kijinga na zinamshusha mbele ya wenye hekima 100%

kama kuna watu wanamawasiliano naye, ingependeza wakamtafuta na kumshauri kuwa alichofanya kwanza ni kosa na amejishusha, pili kumshauri ni nn cha kufanya


kwa hili kajishusha yy na washkaji zake, kama ndivyo walivyimshauri


kwa upande wa sugu acha ujinga kama umefanya hivyo, ww ni mtu mwengine, watu wangependa kuona mazuri yako na kuwa mfano, watu wengi wanaamini nyny wanamuziki ni wahuni, sasa fursa hio uliopata ungekuwa unaitumia vyema ili jamii iondokane na walichokuwa wakikiamini

au ndio umejifunza kwa hao wahuni akina Slaa na Mbowe kufanya ushenzi kwa wake za watu na wanawake za watu ?
 
umenena hata mi ningekaa kimyaaaaaaaaaa
Mwe!
Kama ni kweli basi huyo Jamaa ana akili finyu kweli..
Yaani dume unaibiwa mke unaanza kuvuta midomo na kuwatangaza watu?
Ingekuwa ni mimi nisingezungumzia kabisa kuhusu hilo suala....
njemba ikininyang'anya demu basi nitaiheshimu sana, nitajua kweli imenizidi viwango (God forbid)...
Dah
Kweli tunatofautiana....
 
huyu bwanamdogo chizi nini,nani kasema kuna uzee kwenye yale mambo ye akubali tu kuibiwa na kukubali matokeo naaanze mbele hivi mademu wote na mimama yote hiyo bado analalamika.kata mti panda mti hakuana kuzubaa na sugu wewe ni kidume kula mzigo hapo
Nimesoma katika wall ya jaffarai kwenye facebook, kwa kweli naona jamaa hajatumia busara kumuita mtu ambaye alikuwa mpenzi wako kicheche mzee, hata kama amekufanyia makosa, achana nae kistaarabu maana unapomponda hata wewe mwenyewe hutaeleweka, ilikuwaje mkawa wapenzi??

Hiki ndo alichoandika:
 
Ila Shyrose naye apunguze umalaya kwani umri unaenda mwishowe atazeeka bila mtoto atulie atafute mume amuoe leo mr 2 jana rwekaza johnson fisadi mala Masha sijui kama inapendeza kwenye jamii kwa mtu mwenye status kama yake:msela:
 
Wapendwa mliokuwa mkisiiliza redio clouds fm mchana akika nilikuwa nakaribia kutoa machozi.....Mume wa shyrose banji ameweka wazi tatizo lilopo na mkewe na kusema shdida kubwa ni mbunge wa mbeya chadema..aka SUGU..akiwa anaongea kwa uchungu anasema unajua bwana mimi naamin ipo siku yule dada atanikumbuka nilimpenda na kumheshimu na umri wake mkubwa lakini siku moja rosegarden nikamuuliza unajua naambiwa sugu mnakuwa nae sana marakwa mara nakuonya aibu yako yangu..uchafu wako wangu..akadai unajua mh alikuwa ananitaka yaani kila akiniluza maswali hasa ni kuhuusu wewe unanifikishaje unanijalije...jamaa akasema unaonaje tumtoe nishai binti akasema apana...ndipo majuzi walipokutwa live wakiwa ndan ya bashaha mkewe na huyo mh..jamaa aanadai ameumia sana akampigia sugu na sugu akasema unajua bana samahana i bana unajua binti ndio alintia majaffer ila siko nae tena hayo wanaoendeelza n majungu...jafeer akaulizwa na mtangazaji ulimuliza mkeo alitumia zana akadai akutaaka hata kumjibu

ushauri wangu

JAFFER NAJUA UMEUMIA SANA SANA SANA...ILA KWA JINSI ULIVYO NISINGEFIKIRI MAHUSIANO YAKO UWEKE KWENYE MAREDIO MACHAFU KAMA CLUODS FM..NDIO MAANA WALIKUWA WAKIKUHADAA NA NYIMBO ZA ZARAU..MAHUSIAANO YANAMALIZWA NA NYIE WENEYWE HILI NI SMSAADA KWA NIABAYA PDIDY...KMA UTAITAJI WA MAREKAN NIKO NJIAN KUKUPATIA NI PM..POLE SANA WALE WOTE WALIOKUWA WAKIKUPA POLE NA PAMOJA NA MTANGAZAJI N WANAFIKI

POLE SANA
 
Huyu dogo alishapotea kwenye vichwa vya habari,naona anatafuta pa kutokea tena.
 
dah sijakuwepo siku nyingi jamvini! Naona sura mpya kweli! Karibuni kwa grea thinkers wageni... Kuhusu jaffarai, kajichora si mchezo yaani, angeondoka kimya kimya hata wanahabari wangekosa maandishi! Ufupi si mstaarabu hata kdogo
 
Naona bwana Pdidy unalazimisha public sympathy. hatuna mda wa kujadili sizitaki mbichi hizi za kijana kama binti,leta hoja ya maana.
 
Leo Jaffaray yuko live kipindi cha XXL kinachorushwa na Clouds fm akisema kaachana na Shyrose Banji ni kutokana na kugundua kuwa amecheat na ana Uhusiano na Hon. JOSEPH MBILINYI.
Ndio maana kaenda radio Clouds kumwaga sumu,dogo Jafrai sugu humuwezi,wewe ganga njaa zako,maadamu sugar mamy wa ukweli kakupa kibuti bai tuliza boli acha kuropoka ropoka wakati mnatongozana hukututangazia,mambo ya ndani hayafai kuyatoa nje isitoshe nawe ulikuwa hujamuoa huyu sugar mami wa ukweli so mami wa ukweli anahaki kwenda kokote ,kwani Jafrai kule Kenya watu wa sampuli yake wanaitwa "chips funga",ukila zile karatasi ulizifungia unazitupa nje ya nyumba siku hiyo hiyo baada ya kuzila
 
Back
Top Bottom