Jaffarai na Shy-Rose na Kuheshimiana baada ya kuachana

Jaffarai na Shy-Rose na Kuheshimiana baada ya kuachana

Husband always insisted on making love in the dark. After 20 years the wife turns on the light to catch her husband holding a vibrator. She goes ballistic "You impotent b*stard! How could u lie to me all these years?" He looks her straight in the eyes and calmly says " I will explain the toy, if you explain the kids..."

hahahah lol this is funny....:laugh::laugh:
 
Duh hii kali Jaf anatakiwa Mirembe si kitu cha kawaida,lakini pia Mr 2 hajawatendea haki wapiga kura wake kama ni kweli anastahili kubeba lawama kwa kuwadhalilisha wapiga kura wake na chama chake.
 
nadhani ni panic ya jinsi ya kuyakabili maisha bila shyrose....muoneeni huruma tu....

Ziko wapi busara za mwanaume katika kuongoza? Wanawake wangapi wanaachwa kila siku na hawaliilii kwenye vyombo vya habari?! Hivi kwani walikuwa na mkataba wa " HADI KIFO KITUTENGANISHE"?

Faida ya elimu si kupata fedha tu. Inakusaidia hasa namna na ku deal na matatizo hasa katika maisha yetu ya sasa. Tofauti ya aliyesoma na asiyesoma utaiona kwenye namna wanavyo fanya maamuzi ya nini wafanye mara wanapopata matatizo. Ni vizuri kama anayejua uelewa wake au uwezo wake kimaamuzi ni mdogo Naombe ushauri kwa watu afanye nini.

Hili ni neno. AOMBE USHAURI NAMNA GANI AKABILIANE NA HII ISHU.

kwa kweli ndugu yetu amechanganyikiwa, nimeenda kusoma aliyoyaandika kwenye wall yake, kule kwenye face book sikuweza kuamini

unajua mambo kama haya yanatokea sana, na wala yeye si wa kwanza kumtokea iwe kweli au kuzushiwa

kosa alilolifanya ni kuapayukwa na kumwaga mtama hazarani, njia alizotumia kukabiliana na tatizo ni za kijinga na zinamshusha mbele ya wenye hekima 100%

Wapendwa mliokuwa mkisiiliza redio clouds fm mchana akika nilikuwa nakaribia kutoa machozi.....Mume wa shyrose banji ...jafeer akaulizwa na mtangazaji ulimuliza mkeo alitumia zana akadai akutaaka hata kumjibu
Alikuwa mke kumbe?!

Who cares who is who ni maisha yao wakitaka kulisakata rumba kimpango wao msituchoshe na habari hizi za kufikirika.
Nalo neno.... kwani kuna mtu asiyekuwa na maisha yake?

who is shyrose mpaka apoteze muda wetu kumjadili? she is NOTHING na afadhali ameachwa na jafarai. haka kadada kanajishaua sana na kila siku kanapenda kuonekana kwenye vyombo vya habari hata kwa non-issues. hongera jafarai, its time you mind other business!

Are we on the same page?

Mwisho wa siku tufahamu mapenzi ndivyo yalivyo - kuna kupendana na kuachana.Walipopendana watajua wenyewe terms of engagement zilikuwa vp. Kuachana siyo dhambi bali ni transition kuelekea maisha mengine.Huenda Shy na Jafferai hawakuandikiwa kuwa pamoja ab initio! N andio maana hata mipango yao ya kufunga ndoa ilikuwa inakwama mara kwa mara....Toka watambulishwe Bungeni na Muheshimiwa Sitta aliyewahi kuwa Spika Bunge lililopita hadi leo ni miaka imepita na ndoa haikuwezekana. Nadhani ni wakati muafaka Jafferai akubali Shy hakuandikiwa awe mkewe na aendelee kusaka mchumba wa kiwango chake. Akimpata wasiwekane kinyumba bali wafunge ndoa itakayowapa uhalali wa kutumia vikao halali vya familia kutatua migogoro. Sasa hivi inaelekea kama vile Face Book and Radio na hata TV ndio " familia" au baraza la usuluhishi analoliona Jaffarai... ukweli ni kuwa anajiweka pabaya maana wanawake wanaosikiliza watakuwa makini sana kuwa na uhusiano na mtu asiyekuwa na staha kama huyu! Huwezi wewe ukaenda kuanika mambo na siri za ndani hadharani maana inadhihirisha tatizo katika malezi.A REAL MAN CAN HANDLE SH****T BETTER THAN THIS!
 
nyie kumbe hamjui, ja-FALAH-i anawaza zile good time za hela za huyu mama wa chama cha mafisadi atazikosa....
 
sasa je tuwaunganishe,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,si wanaruhusiwa kupeana talaka hao
 
Are we on the same page?

Mwisho wa siku tufahamu mapenzi ndivyo yalivyo - kuna kupendana na kuachana.Walipopendana watajua wenyewe terms of engagement zilikuwa vp. Kuachana siyo dhambi bali ni transition kuelekea maisha mengine.Huenda Shy na Jafferai hawakuandikiwa kuwa pamoja ab initio! N andio maana hata mipango yao ya kufunga ndoa ilikuwa inakwama mara kwa mara....Toka watambulishwe Bungeni na Muheshimiwa Sitta aliyewahi kuwa Spika Bunge lililopita hadi leo ni miaka imepita na ndoa haikuwezekana. Nadhani ni wakati muafaka Jafferai akubali Shy hakuandikiwa awe mkewe na aendelee kusaka mchumba wa kiwango chake. Akimpata wasiwekane kinyumba bali wafunge ndoa itakayowapa uhalali wa kutumia vikao halali vya familia kutatua migogoro. Sasa hivi inaelekea kama vile Face Book and Radio na hata TV ndio " familia" au baraza la usuluhishi analoliona Jaffarai... ukweli ni kuwa anajiweka pabaya maana wanawake wanaosikiliza watakuwa makini sana kuwa na uhusiano na mtu asiyekuwa na staha kama huyu! Huwezi wewe ukaenda kuanika mambo na siri za ndani hadharani maana inadhihirisha tatizo katika malezi.A REAL MAN CAN HANDLE SH****T BETTER THAN THIS!

We are not exactly on the same page, lakini nakubaliana na baadhi ya hoja zako...Hoja yangu ya umuhimu wa elimu kwenye kutafakari na kuchukua maamuzi ya busara kwenye maisha inabaki pale pale. Hata hao wenye ndoa na uwezekano wa vikao vya kutatua matatizo, wengi wasio na elimu wanaweweseka kwenye kukabili mambo kama haya: Uswahilini kelele nyingi, umbea na ngumi mara mambo kama haya yanapotokea na uzunguni yanaisha kimya kimya tu (watu wanajadili, wanaenda mahakamani, wana divorce, kwisha kazi!!). Tabia za kuropoka matatizo yako kwa kila mtu, kutafuta sypathy kwa wasiohusika, kutofikiria long term impact (kwamba hata kama mnaachana mnaweza kuendelea kuwa marafiki, etc) zinaendana na watu wasioelimika! Mtu anashindwa kufikiria kwamba yanayoandikwa kwenye electronic media kwa sasa yatabaki hapo na pengine kusomwa hata na wajukuu. Is this necessary? What does it serve? Does it change the wrong that has been done already? Hapo ndio elimu inasaidia ....Nadhani kwa upande wa bongo, hii issue itakuwa fundisho zuri la namna tunavyotumia media za kisasa.
 
Jaffary ana matatizo huyu dogo. yaani leo ndo kaona shy kicheche mzee?? wakati anakula bata mashoping ya dubai aliomuona tu kijana??? aache utoto. alizoea vya kunyonga huyu aanze kuchinja sasa.
jaffary utafikiri hana akili eti tumechagua sugu atuwakilishe bongo fleva badala yake kanichukulia demu wangu, hivi jafari mr 2 ni mbunge wa bongo flava???? ni jimbo gani hilo???? ama kweli kukataliwa kubaya mwacheni ahangaike.......
na hawa clouds kwa kweli na waachia watu wasiona kazi kusikiliza hii redio. hivi wote tulioshawahi kuachana tukienda studio tutatosha kweli. waache ujinga.
 
broken_heart_MG.png

OUCH!!!!! THAT LOOKS PAINFULL. CAN SOMEONE MEND HIS BROKEN HEART ?
 
Kikongwe katema big G kwa karanga za kuonjeshwa :coffee:
 
Back
Top Bottom