Jaffarai na Shy-Rose na Kuheshimiana baada ya kuachana

Au Dogo Janja....kibaka kaiba mkoba ndani kakuta ratiba ya msiba.

Any way Clouds wameamua kujibu mapigo ya anti virus kwa kumchana Sugu live. Rais mwenyewe anacheat itakuwa mbunge SUGU? Go Sugu go. Next time chukua mke wa Kibonde.

Kibonde si anadaiawa kuwa ana High Voltage...Sugu usimguse mkewe utapigwa shoti. Mlete huyo binti CDM ila ni mcharuko mtu wangu.
 
Halafu huyu Jafarai alivyo mjinga anaenda kuongea kwa hiyo mijinga ya clouds akifikiri watu wata-sympathize naye kumbe watu ndio wanamchora
 
koma ukiwa mwanamke kuzoa mtu kisa status na fedha vinaruhusu...
tafuta mtu wa hadhi yako,mnayeendana naye...
sio kutumia watu kwa manufaa yako binafsi,ukiona humuhitaji tena ,umeshampata uliyekuwa unamtafuta, unambwaga mwenzio...
huyo jaffarai anabwabwaja sababu yuko hurt na anafeel used,hata ningekuwa mie ningebwabwaja kupunguza machungu..
ila siwaonei huruma wote wawili na WAKOME!!!!

kama kawaida mmeconclude shy ndio victim,na wakati kamtumia kaka wa watu kama BIG G imeisha utamu kaitupa...msonyo!:coffee::twitch:
 
Jaffary...Kubali yaishe maana hata Sugu alitendwa akaimba Hayo haya kuwa mapenzi....
 
unajua inategemea na m2 yupo kwenye hali gan mana kama ni m2 mwepes kupanik hapo ndipo tatzo lilipo na ndo mana yanamtoka lolote lile ila unajua ni kaz sana kujicontrol na ndo mana ninakubal ni kwel ha2na level moja ya busara
 
ofcourse kama unabeef na sugu sehemu ya kwenda kulilia ni clouds fm...hakuna mpya hapo

tatizo ni kama jamaa angekuwa kidume cha kweli, na yeye angetafuta wake amege....sio unalialia kama demu
 
Hili liJaffarai JINGA kwel,hakyanani unaweza kukuta ye ndo kaachwa,maana linavyoipublicize hii ishu..duh.!!..mara facebuk,mara radion..yan anataka mambo yao binafsi ayatangaze..

Mkubwa hata mimi nishaistukia hii issue, hili jamaa ndio limepigwa chini tena ghafla... sasa kinakurupuka bila hata kufikiria!!!
 
Na inavyoonekana ameachwa ghafla ndo maana ame-panick.

anajihami🙂) Mwisho wa siku hata kama una hasira kiasi gani kwa kutendwa, kumdhalilisha mtu haisaidii kupunguza hasira..Mana akiendelea hivyo anaweza kutoa siri za faragha!!
 
Au Dogo Janja....kibaka kaiba mkoba ndani kakuta ratiba ya msiba.

Any way Clouds wameamua kujibu mapigo ya anti virus kwa kumchana Sugu live. Rais mwenyewe anacheat itakuwa mbunge SUGU? Go Sugu go. Next time chukua mke wa Kibonde.

Hapo kwenye red sikushauri SUGU, tutakusahau muda si mrefu.
 
lisemwalo lipo na kama lipo litaonekana taratibu
 
hawa watu ndo wanani na wanafanya nini??

(nauliza sababu siwaujui kama huna jibu usinijibu)
 
Hawa ndo waheshimiwa wetu,waliomchagua wanahasara na wajihadhari na wake zao,maana mweheshimiwa yeye na wake wawenzie tu,so akija jimboni wafungieni wake zenu,huyu ni mtu hatari sana,na msitarajie maaendeleo hapo,maana jamaa mda wote anawaza wake za wtu,
 
Kumbe Sugu mwenyewe ndiyo huyu?

Mie nilikuwa namsikia tu. Ila kweli SHANGINGI la Ubunge hapo nyuma ni zito sana.



Huyu jamaa hapa basi tumpe POLE. Wenzie sasa wanafaisi. Hajui CCM wanaangalia MFUKO kwanza?

 
Ila mi nimeipenda ili iwe fundisho kwa watu wazima wanaopenda kuvulia watoto wadogo nguo na tutasikia mengi hapa

Mtoto mdogo ina mana alilazimishwa?!..sharo baro tu nae, si angeachana na shy kitambo kama alijua ni kicheche mzee!!
 


Huyu dogo nae anamatatizo.......kweli aliyesema vijana wengi wanaojihusisha na bongo fleva wana matatizo ya kichwa hakukosea...sasa ona jinsi alivyo solve hilo tatizo kibongo fleva fleva........analialia nani amsaidie? mwiba hutokea ulipoingilia, dogo umeshatumika kula kona watu wazima waleane! Shyrose sio saizi yako!!!!!


Sugu na wewe kuwa makini, hujiulizi siku zote hizi Shy alikuwa wapi aanze kukushobokea leo? miaka mitano sio mingi sugu, kama haya yanayosemwa ni kweli (kuwa umeanza na kuchapa chapa mademu za wenzio kwa fimbo yako ya ubunge) basi dogo jirekebishe mapema!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…