Jafo: Viongozi acheni tabia ya kuinua mabega, jeuri na kiburi kwani sisi wote tutaonja mauti!

Mbna kenyewe ninkabingwa kajeuri na kujiona
 
Zitarudi na kukaa sawa kwa wote.
 
Hakua mnyenyekev huyo alikua jeuli na kiburi kwa wananch wa kigoma
 
Huyu Mwalim Mkuu wa Shule ya sekondari Dodoma alikubali kumpokea mwanafunzi mmoja aliyetoka Mkoa wa Katavi baada ya kukamilisha taratibu zote za uhamisho na hadi kupitia TAMISEMI amekuja baadae kusema hamkubali na hamtaki huyo mwanafunzi bila ya sababu ya msingi pamoja na kuwa ametumia gharama nyingi sana za kutoka Dodoma hadi huko Katavi kwenda na kurudi mpaka kufanikisha jambo la uhamisho wa mwanafunzi huyo mwisho wake anamkataa kuwa hamtaki, swali langu hii shule ya Dodoma sekondari ni ya mtu binafsi au serkali? na kama ya serikali hawaoni manyanyaso ya Mkuu huyu wa shule ya sekondari kwa Waalim ,wazazi na wanafunzi sasa tumechoka tunaomba Mheshimiwa Rais aingilie kati maana amezidi.
Amefungua duka la kuuza bidhaa ambazo wanafunzi wanazileta kila mwaka hapo shuleni mfano kwanja na majembe , ukiingia tu form one lazima uje na kwa na jembe aulizwe hayo majembe na makwaja ya miaka ya nyuma yako wapi maana huu ni wizi kubwa sana. Na hatutachoka tutadeal na masuala yake haya mpaka Mhe. Rais asikie kilio chetu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…