joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,117
- 46,617
Swali ni rahisi na fupi, endapo watawapiga na kuwadhuru kwa makusudi kama wanavyojinasibu, tuendelee kuwaangalia?. Elimu gani wasiyoijua hawa wakenya, tena wanasiasa ambao miaka yote wamekuwa wakilaumu Tanzania kwamba ndio tunaozuia " free movements of people and jobs". Wanajua wazi kwamba wanachotaka kukifanya ni kosa.Hili tatizo sio rahisi kama unavyolisemea hapa....
Unawacheka Wakenya wakati Kariakoo kuna Wachina walishachinjwa sometimes ago...
Issue hapa sio eti tuwafanyie nini au tuwachukulie hatua gani maana ninaona ni solution ya jino kwa jino which is nonsense in a long run!
Nadhani ni suala la kuelimisha wanasiasa na wananchi wetu mpaka waelewe...
Naona ni ignorance on both sides...wananchi bado hawajajua maana ya soko huria na maana ya competition!
Ni elimu tu hapa!
Sio kwamba Tanzania au UG au RW ni bora sana katika kuruhusu biashara huria,nao ni wabovu vilevile...ni kuelimisha EA yote mpaka kila mtu aelewe!