Jaguar: Wakenya kuwaondoa kwa kipigo Watanzania, Wachina, Waganda na Wapakistani nchini mwao

Jaguar: Wakenya kuwaondoa kwa kipigo Watanzania, Wachina, Waganda na Wapakistani nchini mwao

Jaguar kawa hivii..dah kweli madaraka akipata mpumbavu ndo upumbavu wake unaonekana
 
Wakenya hawaburuzwi na vitu vya kijinga jinga km hvi...labda kuhusu kura tu...

Kura mna uana je kuhusu kula itakuwaje?

Umesahau vurugu na mauaji 2007 ya kikabila ktk uchaguzi hadi kesi mpaka The Hague kwa siasa za 'nusu mkate' na 'nusu kapeti'.

Tumbo la mkenya mwenye njaa kwa kukosa kula mlo wa chakula atafanya nini huku akichagizwa na mbunge Nja-gua.

Huyu mbunge lazima akemewe vikali kwa kauli za kibaguzi zinazochochea vurugu.
 
Kura mna uana je kuhusu kula itakuwaje?

Umesahau vurugu na mauaji 2007 ya kikabila ktk uchaguzi hadi kesi mpaka The Hague kwa siasa za 'nusu mkate' na 'nusu kapeti'.

Tumbo la mkenya mwenye njaa kwa kukosa kula mlo wa chakula atafanya nini huku akichagizwa na mbunge Nja-gua.
Unaregelea point yangu...au wewe ni wale wenye matatizo ya r na l...

Katika kura wakenya sijui huaga tuna shida gani...lkn hayo yote sai yanupungua tu pole pole...

2013 na 2017 mliomba tupigane ila dua lenu likapigwa chini...bado mnakomaa na 2007 tu...sasawa watu wakuiombea nchi yangu mabaya
 
Haujui kutofautisha kura na kula, lazima utakuwa wale wafuasi wa mbunge Charles Njagua. Njaa mbaya mtani.
 
Haujui kutofautisha kura na kula, lazima utakuwa wale wafuasi wa mbunge Charles Njagua.
Bwhahaaa...nlijua lazima utatokwa na povu..sasa comment yangu ya kwanza na kula inahusiana wapi na wapi
 
The speech by the young MP is wrong on many levels, but we also have laws pertaining to work permits and level of skill required. Tanzania certainly is a signatory to free movement of people but it is not signatory to free movement of labor to kenya. Ugandans and Rwandans do not have a problem they get work permits in Kenya without charges, but since Tanzania and Burundi refused to sign the Free movement of labor protocol in 2015, thus they need to pay the charges in order to work. Also the workers working here from Tanzania, Burundi,Pakistan and some Chinese are not expatriates. We have hundreds of illegal hawkers from Tanzania, masons and farm hands from Burundi , other hawkers and barbers from the DRC who are not authorized to work in Kenya, this is what we should not accept people coming to work illegally in Kenya because I know from experience that even with legal documents you will still face discrimination in our neighbouring countries apart from Uganda(I have worked across the eac). No country can allow this, to happen so why should Kenyans always be the ones giving and not receiving reciprocity in the region? This is by no means an excuse for his words but i understand where he is coming from. Kenya has opened its border to her neighbors but all apart from Uganda, are taking advantage of Kenya. I have no problem with Ugandans because I saw many small businesses in Kampala and entebbe run by Kenyans, we should and have also opened our economy to her(Uganda) citizens, but the rest unless they have proper documents, they should pack up and ship out.
 
Mkuu tutanuka uvundo... maana kila sabuni ni ya Kenya dawa za mswaki vivyo hivyo... kuna mahala tunakwama "wanyonge!!"
Sio kwamba zinatoka kenya.kuna baadhi ya vitu vimepigwa chapa ya kenya tu.ila tz hakuna tunachotegemea kenya kwa100% .kenya hana viwanda vikubwa ambavyo tunavitegemea...
 
Sio kwamba zinatoka kenya.kuna baadhi ya vitu vimepigwa chapa ya kenya tu.ila tz hakuna tunachotegemea kenya kwa100% .kenya hana viwanda vikubwa ambavyo tunavitegemea...
Hta hilo pia unapinga jamani...umesahu na toothpick
 
Mbna wakenya hili swala hata wamelipuuza...kisa wameona halina mshiko...

Lkn nynyi mnavyopenda kupiga domo..so kila jambo lazima mtalivalia njuga
Unajitetea,tutaanza na wewe.sisi ni jino kwa jino.na kwa niwajuavyo wabongo sio muda tutapa picha zake za uchi
 
June 25, 2019
Nairobi, Kenya

MP Jaguar gives ultimatum to Matiang'i as he led anti foreigners protests :

sasa toothpick zinatusaidia nini,tukiamua ni siku mbili tu tunatengeneza...kwanza stick za kenya ni za hovyo sana,zinatanua meno na zinavunjika kijinga jinga
Hta hilo pia unapinga jamani...umesahu na toothpick
 
The speech by the young MP is wrong on many levels, but we also have laws pertaining to work permits and level of skill required. Tanzania certainly is a signatory to free movement of people but it is not signatory to free movement of labor to kenya. Ugandans and Rwandans do not have a problem they get work permits in Kenya without charges, but since Tanzania and Burundi refused to sign the Free movement of labor protocol in 2015, thus they need to pay the charges in order to work. Also the workers working here from Tanzania, Burundi,Pakistan and some Chinese are not expatriates. We have hundreds of illegal hawkers from Tanzania, masons and farm hands from Burundi , other hawkers and barbers from the DRC who are not authorized to work in Kenya, this is what we should not accept people coming to work illegally in Kenya because I know from experience that even with legal documents you will still face discrimination in our neighbouring countries apart from Uganda(I have worked across the eac). No country can allow this, to happen so why should Kenyans always be the ones giving and not receiving reciprocity in the region? This is by no means an excuse for his words but i understand where he is coming from. Kenya has opened its border to her neighbors but all apart from Uganda, are taking advantage of Kenya. I have no problem with Ugandans because I saw many small businesses in Kampala and entebbe run by Kenyans, we should and have also opened our economy to her(Uganda) citizens, but the rest unless they have proper documents, they should pack up and ship out.
So now u r forcing us to sign free movement agreement!
 
Anadhani Foreigners wakienda kwa airport watapandishwa Kenya Airways hivyo Shirika la Ndege la Kenya litapata mapesa mengi
 
So now u r forcing us to sign free movement agreement!
It is called reciprocity, "Forcing" is not a good word to use. In other words if Kenya opens her border to neighbours we expect the same gesture to be reciprocated.
 
Interior Cabinet Secretary Fred Matiang’i has ordered the deportation of four Chinese nationals engaging in business activities at Gikomba market in Nairobi.
Dr Matiang’i, who spoke in Nakuru County on Wednesday during the opening of an e-passport immigration centre, said they were in the country illegally.
The minister noted that all foreigners working as small scale traders in Kenya will be deported.
“I direct security authorities to deport the traders because they hold illegal work permits," he said.
"We do not have a classification of foreign traders coming into the country to conduct trade or hawk. I have already directed that those in Gikomba be escorted to the airport tomorrow to ensure they take supper in their homes."
Dr Matiang'i vouched for the government’s current work permit policy, describing it as “the strictest in Kenya’s history”.
Related Stories
  • Overcrowded Gikomba is a perennial tinderbox
”Whoever wants to apply for a work permit should do it from their respective countries, not in Kenya,” he said.
 
Hilo tamko,limetolewa na mbunge wao,na amelitoa kisiasa zaidi.
Watu wenye maisha magumu,siku zote huwa wanatafuta wa kumtwisha lawama kutokana na umaskini wao.
Sasa jiulize,mpakistan,aliyeingia Kenya,na mtaji wake wa mabilioni ya dola,akafungua show room,amesababisha vipi umaskini wa wananchi wa kawaida?hata akiondoka huo umaskini hauishi zaidi utaongezeka maana ajira alizokuwa anatoa,zitasitishwa.
Watakao umia ni wale wageni wanaomiriki biashara ndogo,kama za maduka,
MTz anayemiriki kampuni kama ya IT,tena imeajiri wakenya kibao,unaanzia wapi kumgusa?huyo anaweza kuguswa tu na sera za nchi kama zikibadirika
Jamaa angeiongelea ivo marekani angeshakuwa kwny orodha ya magaidi huwezi order watu wapigwe MAISHA wakenya wameyakosea wnyw wasitafute mchawi
 
Back
Top Bottom