Jah Prayzah ft Diamond collabo kali zaidi ya mwaka huu

ngoma kali ni moja tu aliyofanya na papa wemba
 
Hii ngoma ni tamu sana...yaani inachezeka kinoma...sipati picha itakavyobamba...kwa hii ile kidogo ya psquare inasubiri
 
Vya kawaida tu jinyimbo nzima anaimba flat tuuu....
 
Jamani nimeshindwa kufungua hapo juu, ni wimbo mpya au?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…