Jah Prayzah ft Diamond collabo kali zaidi ya mwaka huu

Jah Prayzah ft Diamond collabo kali zaidi ya mwaka huu

Hii ngoma ni tamu sana...yaani inachezeka kinoma...sipati picha itakavyobamba...kwa hii ile kidogo ya psquare inasubiri
 
Vya kawaida tu jinyimbo nzima anaimba flat tuuu....
 
Jamani nimeshindwa kufungua hapo juu, ni wimbo mpya au?
 
Watora Mali ishachuja
Angalia views mpaka sasa,
LAZIMA UNYWE SUMU

5f6316bc134318df28b4e545d91ff339.jpg
 
Back
Top Bottom